Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
Mzee said heshima Yako mkuuNyakati zimebadilika sana.
Nimeandika makala hiyo fupi hapo chini niliposikia maandamano ya kuwaunha mkono Wapalestina yamezuiwa na Sheikh Ponda amekamatwa.
TANGANYIKA 1940s WAKIWAUNGA MKONO WAPALESTINA SIKWAMBII ZANZIBAR
Ndugu zangu iwe iwavyo.
Kweli Tanzania ni ya kuwazuia wananchi wake kufanya maandamano ya amani kuwaunga mkono Wapalestina?
In Shaa Allah nitaweka katika Jukwaa la Historia, historia ya Wapalestina na Tanganyika kuanzia miaka ya 1940 hadi uhuru unapatikana 1961 na msimamo wa Nyerere katika kuwaunga mkono Wapalestina.
View attachment 2809829
Picha ya zamani inamuonyesha Sheikh Ponda akizungumza
na Vyombo Vya Habari
Samahani Mzee wangu labda unaweza kunisaidia jambo hili kunifafanulia
1) Nini umuhimu wa hayo maandamano Kwetu sisi WaTanzania pia kama wa Afrika?
2) vip na upande wa pili wa wagaratia nao wakaamua kuandamana na mabango makubwaaa I STAND WITH ISRAEL una zani hakutakua na mgongano hapo katikati wa kimtazamo? Na kuhatarisha usalama wa nchi
3) Kuna guarantee Gani kwamba hayo maandamano hayawezi kuzua taharuki na fujo maana kumbuka katika hili watu tunatofautiana mitazamo.
4) Lakini Babu kumbuka pia Moja wa wahanga ni WaTanzania pia Kuna ndugu zetu wawili ambao familia zao zinakesha kuomba watoke huko salama Kwa watu ambao tunataka kuungana kuandamana Kwa ajili yao unaona ni sawa
Kumbuka hii nchi haiongozwi na misingi ya kidini japo inatambua Raia wake Wana dini mbalimbali