Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
king lion ni kampuni ya kichina, wameumiza kichwa wakaunda pikipiki na guta. wameweka branch hapa, unategemea wawaweke wabongo hawa longo longo kwenye sekta za juu? wewe ukienda china na kampuni yako ya kuuza maandazi au viazi mviringo (manake ndio uwezo wetu wa innovations ulipoishia) utamweka mchina juu? hukumu kwa haki.Nilienda ofisi za kinglion pale mwenge kununua guta iliniuma watanzania kuona wameajiliwa kwenye ajira za kutumwa tumwa na nzito zenye ujira mdogo wakati huo wachina wameshika nafasi zenye pesa nono na ambazo siyo za manguvu.Nikamuona mkurugenzi anaendeshwa kwenye V8GXR nikawaza hivi watanzania tunashindwa Nini kufanya biashara kama wenzetu?
wabongo wengi wezi, wavivu. kuna maeneo hata kwenye ujenzi huko wachina hadi huwa wanachapa watu viboko kwa uvivu, kuchelewa kazini, mademu nk. wakati mchina anawaza kazi muda wote na anafuata muda. ungekuwa wewe ndio mchina, ungemweka nani nafasi ya juu na yenye mshahara mnono.