Dar: Raia wa China wageuka machinga, Wananchi washitushwa

king lion ni kampuni ya kichina, wameumiza kichwa wakaunda pikipiki na guta. wameweka branch hapa, unategemea wawaweke wabongo hawa longo longo kwenye sekta za juu? wewe ukienda china na kampuni yako ya kuuza maandazi au viazi mviringo (manake ndio uwezo wetu wa innovations ulipoishia) utamweka mchina juu? hukumu kwa haki.

wabongo wengi wezi, wavivu. kuna maeneo hata kwenye ujenzi huko wachina hadi huwa wanachapa watu viboko kwa uvivu, kuchelewa kazini, mademu nk. wakati mchina anawaza kazi muda wote na anafuata muda. ungekuwa wewe ndio mchina, ungemweka nani nafasi ya juu na yenye mshahara mnono.
 
Nasubiri Makahaba wa kichina watavyojaa Sinza
siungi mkono ukahaba, lakini, mbona ninyi makahaba wa kibongo mnaenda china everyday na mnarudi na vifurushi vya bidhaa za kutuuzia? mnaenda mikono mitupu, mitaji mnaijua wenyewe mlikoificha, ila mnarudi mmejumua bidhaa kibao. na mtakufa, wazungu na wachina hawana ngoma au gono, ila wana 'GENITAL WARTS" zinasambaa hadi zinafunika kila kitu.
 
Si bora hao wanachakalika kwa haki kutafuta pesa ...vp wale waliopewa bandari tulizo wekeza mabilioni wao wamepewa bure
 
Sheria za uwekezaji zinasemaje kuhusu raia wa kigeni? Kazi za kimachinga nadhani hawatakiwi kuziingilia, lakini mamlaka husika ziko kimya, wako busy na uchaguzi
 
Wabongo wanawaza umeneja tuu kwenye kampuni za watu
 
Sasa si wandering kuajiriwa huko kwenye ajira nzuri kama hizo za kutumwa wanaona ni mbaya
 
Mbona kuna housemaids, garden-boys/house-boys wa Kimalawi wengi tu, mbona kuna hairdressers na mafundi wa kushona nguo wa Kikongo na Kirundi? Vipi hao yao siyo news au ndiyo ubaguzi wa rangi?
 


Wazawa nao wajitahidi basi. Siyo kulalamika tu
 
Sera ya ccm....wawwkwzaji wameongezeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…