Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Kikwete ni Master aisee, Ile ni Tunu kwa taifaMikutano kama hii imkute Jakaya kikwete mwanadiplomasia ambaye anajua kucheza na akili za watu yaani hata Jambo liwe gumu kiasi gani atarifanya kuwa rahis
sio rahisi hizo mkuu propaganda inasomewaDiplomasia inataka watu matapeli, waongo waongo na wanafiki.
Ili mradi liende haha
Watakuwa wameahirisha bila notice wakiogopa kupinduliwa.Rais Samia akishiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC Februari 8, 2025.
Pia soma:
- Rais Samia akishiriki mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi na serikali wa SADC nchini Zimbabwe
- Rais Samia kuwa mwenyeji wa mkutano wa marais wa nchi za SADC na EAC kujadili Mgogoro wa DR Congo
- Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC walaani mashambulizi ya M23 na RDF, waunga Mkono juhudi za Kidiplomasia kutatua mgogoro huu
Hawa marais wa Africa hawapo serious.Kagame na Tshisekedi wamewasili? maana huo mkutano ni kwa ajili yao
Tishekedi anafuatilia kwa njia ya mtandao.Kagame na Tshisekedi wamewasili? maana huo mkutano ni kwa ajili yao
Zimbabwe umewasahau?Hawa marais wa Africa hawapo serious.
Marais waliopo
Tanzania
Zambia
Kenya
Somalia
Rwanda
Uganda
DRC katuma muwakilishi.
South Africa hayupo muwakilishi
YesZimbabwe umewasahau?
utvumejuaje? wanaonesha live?
Trump: Marekani ikisitisha Ufadhili Kwa UN Vita ya Congo itaishaVyema vikao huleta utatuzi na suluhu mengine ni majaliwa na mpango wake paul kagame,Museven na Tshekedi!
Hyabarimana alongside his Hutu friend were never assassinated in Tanzania. The plane was shot down in Kigali. For your own information the pilot was preparing for a land down.....Now tell me are you saying that Mwinyi should have provided Hyabarimana security in his own country?Hyabarimana and Ntaramirya made a mistake of coming to Tanzania to negotiate with Kagame and Museveni, and trusting that Nyerere and his boys would guarantee their safety, unfortunately not. Their plane was shot down, starting a brutal genocide which churned this region's soil with blood.
Tsishekedi is really wise not to come to Tanzania because his knows his security will not be guaranteed. Most Tanzanian officials, including The Boss Lady and her acolytes have a dangerous and insatiable thirst for money and power, it's really easy to be swayed and sell him out.
There's no diplomacy in Africa. Might Makes Right, and the Weak Suffer. It's Greed, Clientelism and Ignorance that rule supreme.
Hyabarimana and Ntaramirya made a mistake of coming to Tanzania to negotiate with Kagame and Museveni, and trusting that Nyerere and his boys would guarantee their safety, unfortunately not. Their plane was shot down, starting a brutal genocide which churned this region's soil with blood.
Tsishekedi is really wise not to come to Tanzania because his knows his security will not be guaranteed. Most Tanzanian officials, including The Boss Lady and her acolytes have a dangerous and insatiable thirst for money and power, it's really easy to be swayed and sell him out.
There's no diplomacy in Africa. Might Makes Right, and the Weak Suffer. It's Greed, Clientelism and Ignorance that rule supreme.