Hum B
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,045
- 1,468
🤣🤣🤣 Angekimbilia lugaloAlitakiwa akimbilie kwenye kambi ya jeshi sio? 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Angekimbilia lugaloAlitakiwa akimbilie kwenye kambi ya jeshi sio? 🤣🤣🤣
Jinga sana limakonde hilo..limejitoa kwa mwembwe likadhani litawapiga kwenye mziki limechemsha sasa linakimbilia mahakamani.Namchukia sana huyu mmakonde sahiv
Kusimamiwa n jembe mmakonde atafeli,jembecmwenyewe vyote alivyoanzisha,jembe beach,skylight band zimekufa imebaki redio inasuasua...alitakiwa awe n meneja kma 7 mosha anajua hilo game za mziki sio muuza suraHaya mambo ya kupelekwa polisi kila wakat rayvanny itam Cost na kumuaribia Cv ataonekana ako na shida sehemu, kila siku tu yeye polisi , naomba Mungu leo alale Hata I Night nitafurah sana hiz mbwa zimezid umbea, Boss wao aliyewatuma safar hii watanyooka
[emoji23] honestly hata mi sijui.. nasikiaga tu alifeli na alikuwa anarisitiHuwa nasikia Paula ni mwanafunzi, hivi anasoma shule gani na yuko kidato cha ngapi?
Yule mmakonde hana maana kwa sasa.. anaeathirika zaidi ni yeye maana utupu ni wake sio wa rayvany.Konde anaishi Kwa Kiki , kashajitengenezea hyo dhana , kila linalotokea yeye analigeuza liwe Kiki , na ili Kiki yake ipate nguvu inabid awahusishe Wasafi either kupitia watu wake akina , mwijaku , Hbaba au yeye mwenyewe , , Rayvanny kumpsot Paula ilikuwa ratiba yake tuu , atengeneze attention basi life liende , ghafula bin vuu mmakonde kafura huko , kaenda mahakamani , mara kwenye media , huyoo katangaza atafanya maandamano mpak Wasafi , daaah ...
Wamemfinya kidogo ameanza kulalama tena ooh wanataka wanishushe duh....
Kwa mtu mwenye akili timamu , baada ya Rayvanny kupost konde angetulia tuuu, na baada ya picha Kuvuja , angetulia pia badae ndipo sasa achukue hatua stahiki , ingemake sense sana, huyoo kakimbilia kutoa wimbo , kamuita chinga dogo toa wimbo , picha zimevuja anajipiga picha bafuni anauliza mashabiki ni tango au kibamia , nao wakampa anachotaka kusikia......
Anakuja kukumbuka kuna kitu beyond fanbase and popularity kipo damaged ndo anawaza kushitaki , too late
Uwekezaji wa jembe beach si mchezo.Kusimamiwa n jembe mmakonde atafeli,jembecmwenyewe vyote alivyoanzisha,jembe beach,skylight band zimekufa imebaki redio inasuasua...alitakiwa awe n meneja kma 7 mosha anajua hilo game za mziki sio muuza sura
Sema ni liutupu bwana.Yule mmakonde hana maana kwa sasa.. anaeathirika zaidi ni yeye maana utupu ni wake sio wa rayvany.
Iwapo kama atashinda kesi Hermonize_Tz, mi namshauri adai fidia ya TZS. 1.We unadhani hapo atalipishwa shilingi ngapi?