Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Huwezi kumpngia machinga ghorofani eti afanye biashara!!!
Walemavu, wagonjwa na wazee watafikaje huko juu kufuata bidhaa?
Huko miti mirefu ndio wapi watu hawajui!!!
Acha apingane naye mwisho wa siku atapendekeza mwondoeni mkuu wa mkoa anatukosesha kura maajabu ksweli.
Sasa hivi ni zamu ya kushughulikiana CCM wenyewe kwa wenyewe; kwa mwisho kumshughulikia mwingine atajilipua mwenyewe ili kukwepa aibu ya kuzomewa
Hakuna mwananchi wa kawaida anayefurahishwa na uongozi wa sasa
Ninavyojua na kuona majiji makubwa duniani huwezi kukuta wauzaji wadogowadogo wapo kwenye gorofa
Magorofa ni shopping malls
Hata supermarkets huwa ni majengo ya chini
Sasa muuza yeboyebo unamuweka gorofa la tatu kweli nitakuja kutafuta gorofani?
Hao wanatakiwa wawe kama uwanja wa mpira hivi ambapo wanakuwa wamo ndani na wote wamejipanga chini na kila mmoja anakuwa na meza yake au kibanda chake
Huo ni mfano tu wa kiwanja ila sina maana viwanja vya mpira wawekwe machinga hata kama hatung’ai kimataifa [emoji24]