Dar: RC Makalla apingana na kauli ya Shaka kuhusu Machinga, asema machinga wote wamepangwa vizuri


Ninavyojua na kuona majiji makubwa duniani huwezi kukuta wauzaji wadogowadogo wapo kwenye gorofa

Magorofa ni shopping malls
Hata supermarkets huwa ni majengo ya chini

Sasa muuza yeboyebo unamuweka gorofa la tatu kweli nitakuja kutafuta gorofani?

Hao wanatakiwa wawe kama uwanja wa mpira hivi ambapo wanakuwa wamo ndani na wote wamejipanga chini na kila mmoja anakuwa na meza yake au kibanda chake

Huo ni mfano tu wa kiwanja ila sina maana viwanja vya mpira wawekwe machinga hata kama hatung’ai kimataifa [emoji24]
 
TFF wahame uwanja wa Karume na machinga wapangiwe hapo kufanya biashara zao
 
TFF wahame uwanja wa Karume na machinga wapangiwe hapo kufanya biashara zao

Ingekuwa bora zaidi kuliko machinga gorofani

Mikoani na wilaya zingine walishauza viwanja mpaka vya shule ifike mahali ardhi hizo zirudi

Na kuna viwanja vingine huwa wanajenga vibanda wakati wa SabaSaba tu na sikukuu ikiisha utakuta mbuzi wanachunga

Sasa ni bora wamachinga wapewe hizo sehemu au mnasemaje
 
Story yako haijabalance sawa na kichwa cha habari.... nilifikiri baada ya yale aliyosema Makala nilipaswa kusikia aliyosema Shaka yqnayompinga Makalla!!!
 
We fala nini?
Machinga ni eyesore ya Jiji wanaondolewa kistaarabu.
 
Mwambieni huyo anayejiita Sakala awaoneshe picha za hayo maeneo anayodai wamewaandalia hawa wanaowafukuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…