Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kuwa mwanajeshi hakumuondolei ubinadamu wake.Nani anapenda kudharaulika?Heshima itawale.Halafu wale in vijana wote. Unategemea kupata nini kwa kijana?Hilo la mjinga na mwenye akili tuliache kwanza, ila alichofanya askari wa JWTZ ni aibu kwa jeshi, anatakiwa achukuliwe hatua, ila kulindana pia bado kupo, inaweza ikapotezewa kimya kimya au jeshi likamkana kuwa siyo mtu wetu, na kumficha mahali..
akili zake hazijawahi kuwa sawaNamwona kwa mbali mambosasa atakuja na uongo huyoo mwanajeshi alitumwa na chadema.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mgambo wanaruka na kukanyagana.
Kudharaulika kivipi? Kuambiwa ondoka haraka eneo hili ni kudharaulika?! Hiyo sio kudharaulika, ni amri halali.Kuwa mwanajeshi hakumuondolei ubinadamu wake.Nani anapenda kudharaulika?Heshima itawale.Halafu wale in vijana wote. Unategemea kupata nini kwa kijana?
Binadamu huakisi mapigo/tone ya neno.Kuna Barbara na barabara. Neno moja,utamkaji tofauti maana tofauti.Sijui unaelewa?Kudharaulika kivipi? Kuambiwa ondoka haraka eneo hili ni kudharaulika?! Hiyo sio kudharaulika, ni amri halali.
Hawatakiwi kusema "samahani mkuu tunakuomba uondoke hapa" NO!, hiyo haitaleta sense of urgency.. Inatakiwa kutumika lugha ambayo itamfahamisha mlengwa kuwa jambo linalotakiwa kufanyika hapa ni la mhimu, hatari na la haraka, na ni LAZIMA utii, huombwi, unaamrishwa.
Sijaelewa, toa mfano unaohusiana na mada.Binadamu huakisi mapigo/tone ya neno.Kuna Barbara na barabara. Neno moja,utamkaji tofauti maana tofauti.Sijui unaelewa?
Ngoja niisome akili yako.NakujaSijaelewa, toa mfano unaohusiana na mada.
Hivyo ni sawa kumuelekezea mtutu,Ndipo wakamuelekezea mtutu...
Sasa angemuelekezea nini? Sidhani kama alikuwa na panga au rungu, naamini dhana pekee aliyokuwa nayo ni mtutu. Mtu umemwambia aondoke, anadinda na kudai abembelezwe, unafanyaje na unatekeleza operation inayohitaji usalama?Hivyo ni sawa kumuelekezea mtutu,
Hii ni hatari..kuweka pesa anashauriwa akutandike shaba, kwa ajili ya usalama wa maisha yake
Ndio maana nimesema, pale hana rungu wala panga, atakutandika na nini?Hii ni hatari..
Yani anashauriwa akutandike shaba..??????
Ama mimi ndiyo sielewi, kwenye ATM, fedha huwekwa kwa nje ya jengo kweli!Utawezaje kutoa pesa ATM wakati wanaweka ,,, Elimu muhimu sana si kwa majeshi tu Bali kwa jamii nzima .
Daaah.....wewe bila shaka ni polisi..nimesikitika sana na hii kauli yako ambayo ndio inaonesha taswira halisi ya Polisi...Ndio maana nimesema, pale hana rungu wala panga, atakutandika na nini?
Mimi siyo polisi na siwezi kuwa polisi, kuopen fire ovyo ovyo kivipi, askari anaona mwenzie anataka kupokonywa silaha afanyeje?, aangalie tu?Daaah.....wewe bila shaka ni polisi..nimesikitika sana na hii kauli yako ambayo ndio inaonesha taswira halisi ya Polisi...
Unadhubutu ku-open fire hovyo hovyo namna hiyo...???? Ila nashukuru hapa JF wanapita watu wengi hivyo mmeshajidhihirisha wazi....kuna kitu kinatakiwa kufanya kwenye Idara ya Polisi
Hv umeandikA nnHilo la mjinga na mwenye akili tuliache kwanza, ila alichofanya askari wa JWTZ ni aibu kwa jeshi, anatakiwa achukuliwe hatua, ila kulindana pia bado kupo, inaweza ikapotezewa kimya kimya au jeshi likamkana kuwa siyo mtu wetu, na kumficha mahali..
Tatizo hapo ni military law zinazowataja polisi kuwa ni raia.Wenyewe (Wanajeshi) wanawaita Polisi RAIA WAKAKAMAVU, Haitatokea kamwe Polisi na Wanajeshi wakawa MARAFIKI...Trust me mkuu