Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kuwa mwanajeshi hakumuondolei ubinadamu wake.Nani anapenda kudharaulika?Heshima itawale.Halafu wale in vijana wote. Unategemea kupata nini kwa kijana?Hilo la mjinga na mwenye akili tuliache kwanza, ila alichofanya askari wa JWTZ ni aibu kwa jeshi, anatakiwa achukuliwe hatua, ila kulindana pia bado kupo, inaweza ikapotezewa kimya kimya au jeshi likamkana kuwa siyo mtu wetu, na kumficha mahali..