Dar: Sakata la Polisi kuuana wenyewe nje ya benki laacha sintofahamu

Dar: Sakata la Polisi kuuana wenyewe nje ya benki laacha sintofahamu

Hilo la mjinga na mwenye akili tuliache kwanza, ila alichofanya askari wa JWTZ ni aibu kwa jeshi, anatakiwa achukuliwe hatua, ila kulindana pia bado kupo, inaweza ikapotezewa kimya kimya au jeshi likamkana kuwa siyo mtu wetu, na kumficha mahali..
Kuwa mwanajeshi hakumuondolei ubinadamu wake.Nani anapenda kudharaulika?Heshima itawale.Halafu wale in vijana wote. Unategemea kupata nini kwa kijana?
 
26April zinaweza kutumika zaidi na wakalazwa chini watu zaidi, baada ya hapo watahitajika baadhi ya watu kule kwa Ocampo , wacha tuone.
Hao jamaa wakishavaa uniform zinazoitwa za “wazee” huwa wanajiona wapo juu ya kila kitu.
 
Kuwa mwanajeshi hakumuondolei ubinadamu wake.Nani anapenda kudharaulika?Heshima itawale.Halafu wale in vijana wote. Unategemea kupata nini kwa kijana?
Kudharaulika kivipi? Kuambiwa ondoka haraka eneo hili ni kudharaulika?! Hiyo sio kudharaulika, ni amri halali.
Hawatakiwi kusema "samahani mkuu tunakuomba uondoke hapa" NO!, hiyo haitaleta sense of urgency.. Inatakiwa kutumika lugha ambayo itamfahamisha mlengwa kuwa jambo linalotakiwa kufanyika hapa ni la mhimu, hatari na la haraka, na ni LAZIMA utii, huombwi, unaamrishwa.
 
Binadamu huakisi mapigo/tone ya neno.Kuna Barbara na barabara. Neno moja,utamkaji tofauti maana tofauti.Sijui unaelewa?
 
Hawa ffu baadhi yao ni full fucked up wanalewa sana kisha wanaenda kazini kwa maamuzi yao ni ya kilevi tu
 
Hivyo ni sawa kumuelekezea mtutu,
Sasa angemuelekezea nini? Sidhani kama alikuwa na panga au rungu, naamini dhana pekee aliyokuwa nayo ni mtutu. Mtu umemwambia aondoke, anadinda na kudai abembelezwe, unafanyaje na unatekeleza operation inayohitaji usalama?
 
Ndio maana nimesema, pale hana rungu wala panga, atakutandika na nini?
Daaah.....wewe bila shaka ni polisi..nimesikitika sana na hii kauli yako ambayo ndio inaonesha taswira halisi ya Polisi...

Unadhubutu ku-open fire hovyo hovyo namna hiyo...???? Ila nashukuru hapa JF wanapita watu wengi hivyo mmeshajidhihirisha wazi....kuna kitu kinatakiwa kufanya kwenye Idara ya Polisi
 
Kosa kubwa la Polisi hapo ni lugha ya kibabe kwa mwanajeshi.Na hata hivyo asingeweza kutoa pesa katika ATM kwasababu ATM huwa aifanyikazi wanapokuwa wanaweka pesa.

Lugha ya kibabe ndo imewaponza Polisi.
 
Daaah.....wewe bila shaka ni polisi..nimesikitika sana na hii kauli yako ambayo ndio inaonesha taswira halisi ya Polisi...

Unadhubutu ku-open fire hovyo hovyo namna hiyo...???? Ila nashukuru hapa JF wanapita watu wengi hivyo mmeshajidhihirisha wazi....kuna kitu kinatakiwa kufanya kwenye Idara ya Polisi
Mimi siyo polisi na siwezi kuwa polisi, kuopen fire ovyo ovyo kivipi, askari anaona mwenzie anataka kupokonywa silaha afanyeje?, aangalie tu?
 
Hilo la mjinga na mwenye akili tuliache kwanza, ila alichofanya askari wa JWTZ ni aibu kwa jeshi, anatakiwa achukuliwe hatua, ila kulindana pia bado kupo, inaweza ikapotezewa kimya kimya au jeshi likamkana kuwa siyo mtu wetu, na kumficha mahali..
Hv umeandikA nn
 
Wenyewe (Wanajeshi) wanawaita Polisi RAIA WAKAKAMAVU, Haitatokea kamwe Polisi na Wanajeshi wakawa MARAFIKI...Trust me mkuu
Tatizo hapo ni military law zinazowataja polisi kuwa ni raia.
Jeshini kuna polisi wake. Hawa polisi, jeshi huwaita civ police yaani raia.
Askari yeyote kuitwa raia ni tusi, ingawa siandiki kwa kirefu kufafanua tatizo lililotengenezwa na sheria hiyo.
 
Back
Top Bottom