likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,081
hauna akili... angalia Aya ya pili pumba uliyo andika hapo
Siyo pumba mkuu
Mwanajesh alikutwa anatoa hela wangesubiri amalize au wamweleze kiustaarabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hauna akili... angalia Aya ya pili pumba uliyo andika hapo
Amenyang'anywa...???? Upo sawa kweli wewe..???Kosa kubwa sana la kumnyang'anya silaha askari aliyekuwa analinda fedha,wakimuachia mie nitaishitaki jamhuri.
Hayo magari yangetumika kwenye kilimo cha umwagiliaji tungekuwa mbali sana[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]hehehe kuna magari mapya 570 ya maji washa ambayo tangu yanunuliwe 2015 hayajawahi tumika.. licha yahvo kuna mabomu ya moshi pakage zisizo na idadi... bado virungu na risasi za mpira .. tukutane taree 27 baada ya maandamano..
Ndugu kuna kijana wa shangazi yangu kapigwa kilo 7 na njagu imeniuma sana nilivyoambiwa na mdogo wangu wa tumbo moja nilimuingiza huko miaka fulani ila ndiyo alitunguliwa benki fulani R.I.P[emoji3][emoji3][emoji3]
Kk mkubwa kumbe we mjeshi
Vipi ile nafasi ya polisi ulioniomba kwaajili ya mdogo wako bado waitaka! Bi mdashi kanitel zinakaribia kutoka.
kwana yy sio binadam? hayo huwa ni mavazi tuu jamaa angu akiwa mmoja feedforce wanamnyoosha mpaka anakunyaMwanajeshi hapigwi hovyo kama unavyowaza wewe
Hakuna popote askari anashauriwa kupiga mtu risasi pasipo sign warning ya kupiga risasi hewani iwapo hakuna mapambano ya silaha za moto na huyo target wake.Hilo la kutukaniwa mama yako siyo sahihi, ila wakiwa na sare na bunduki ni kweli hutakiwi 'kuwaambia kitu', na wala hutakiwi kuwasogelea.. Ukikaidi amri katika maeneo ya hatari kama wakati wa kusindikiza pesa au kuweka pesa anashauriwa akutandike shaba, kwa ajili ya usalama wa maisha yake.. Kulwa alichelewa kumtandika shaba huyo mwanajeshi, matokeo yake kapoteza maisha yeye!
Hakuna polisi hapa ila nawafundisha achen kudharau kaz watuWe ni polisi...??? Mbona ume-panic
Polis wetu ni watu wa hovyo kabisa....Hivi huko CCP huwa mnafundishwa nini hasa.. ??
Ukiwadharau alafu ukiibiwa unakwenda hapo hapo kuomba msaaada wewe ndio hovyo wa kwanzaHahahahahahaha......
Polisi bana......ndio maana ni chombo kinachodharauliwa sana....
Hovyo kabisa
Anaenda Polisi kuomba msaada? Kwani Polisi wanatoa msaada au wanatimiza wajibu wa kazi zao? Huyo si ndio anawalipa mshahara kwa kodi zake?Ukiwadharau alafu ukiibiwa unakwenda hapo hapo kuomba msaaada wewe ndio hovyo wa kwanza
Ndio maana trump alisha waambia watu kama nyinyi ni shithole
Usimwamin mtu yeyote ukiwa na silaha ya motoHuo ni ukweli kabisa, umeelezea vizuri sana.
Askari mwenye mafunzo dhabiti hashindwi kumtambua askari mwenzie kwenye hali kama hiyo.
Polisi wamekosa elimu ya saikolojia hapo.
Walipaswa watumie akili zaidi kuliko nguvu. Huyo jamaa alikuwa peke yake na hana silaha yoyote iweje harakaharaka tu wahisi kuwa ni jambazi?
Alivyowambia watumie ustaarabu, polisi walitakiwa watambue huyo ni askari mwenzao.
Ndio upumbavu mtu anaekupa huduma na kufanikiwa mambo yako ukamdharauAnaenda Polisi kuomba msaada? Kwani Polisi wanatoa msaada au wanatimiza wajibu wa kazi zao? Huyo si ndio anawalipa mshahara kwa kodi zake?
Acha dharau wewe...Hakuna polisi hapa ila nawafundisha achen kudharau kaz watu
Wakati mnalala na wake zenu wanaume wako kazini wanapiga kazi mnapata muda wa kula bia sababu wanaume wako kazini