Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msisitizo : Tanzania ina wafungwa wengi sana wa kisiasaSerikali, kupitia msemaji wake muda fupi uliopita imekanusha habari zilizoripotiwa na kituo cha runinga cha Kenya kuwa Rais Samia kaagiza wafungwa 23 wa kisiasa waachiwe huru...
Hujaga kumfuata Mwendazake. Kufa umfuateMuuza madawa ya kulevya
Kesi ya kisiasa unaiujua?Kuwa ya kisiasa mpaka ifunguliwe na Ndugai?
Atakuwa amejifunza adabuMdude yuko njiani kuachiwa huru siku sio nyingi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Unateseka bure tu!hehee he is rottening in hell. ameacha maumivu kwa watu ila sasa anaumia zaidi na magenge yake huku yanatawanyika. Nchi sasa inaamani
Taja 10 tuwajue kwa uchacheJifanyeni kuidanganya Dunia ila sisi tunajua kuna Mamia ya Wafungwa wa kisiasa waliolundikwa kwenye Magereza na kubambikiwa Kesi
Nasema ni Mamia.
mdude chadema ni nyoko kabisa unamjua vizuri wewe mwache avune alichokuwa anapandaMh! hata ya uonevu yaliyo wazi? Hapo Kuna walakini Kama ni wazo la Mama. Kuna yaliyo wazi hayahitaji utaalamu. Mfano Mdude Chadema... tekwa potezwa, Mara kaonekana. Bambikwa kesi Mara Kashonda. Bambikwa madawa.
Wewe ndiyo unaijua mkuuKesi ya kisiasa unaiujua?
Atakuwa ameshinda kwani anayoyapigania ndio hayo Raisi Samia anayoyatakaAtakuwa amejifunza adabu
Kwa hiyo serikali ya kipenzi chako inadanganya?..ulitegemea msemaji wa serikali akiri kwamba Mama Samia ameamuru waliokamatwa kwa sababu za kisiasa waachiwe?
..its about time ccm iache kutumia vyombo vya ulinzi na mahakama kisiasa. Waache vyombo hivyo vitekeleze majukumu yake bila upendeleo.
Kwa hiyo serikali ya kipenzi chako inadanganya?
Utakuwa umekosa uteuzi wewe…si bure!
Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amekana taarifa inayosambaa kwamba Rais Samia kawaachia huru Wafungwa 23 wa Kisiasa. Kadai Tanzania haina mfungwa wa kisiasa na kusema Rais hawezi kuingilia mchakato wowote wa Mahakama.
Awali chombo cha habari cha Kenya kiliripoti Rais Samia kuachilia wafungwa 23 wa kisiasa nchini.
Akieleza jambo hilo, Gerson Msigwa amesema:
"Kuna jambo tumeona tulitolee ufafanuzi. Kuna clip inazunguka ikisema Rais Samia Suluhu ametoa agizo la kuachiwa huru kwa wafungwa wa kisiasa 23. Siyo kweli. Rais hahajazungumza suala hilo. Pili, nchi yetu haina wafungwa wa kisiasa. Watanzania wapuuze taarifa hizo"
"Hiki chombo cha Habari cha nchi jirani, nisingependa kukitaja, tunaamini wataomba radhi na kufuta taarifa hiyo. Tayari ofisi yetu ya Ubalozi Nairobi inafuatilia kujua kwanini wmepotosha"
Pia, soma: Citizen TV ya Kenya imeripoti Rais Samia kawaachia wafungwa 23 wa kisiasa. Ni akina nani wafungwa wa kisiasa?
Kwa hiyo kaongopa kwa niaba ya kipenzi chako?
Kumbe anaishi sebuleni kwako?Mdude kwani tayari alishafungwa?
Kenya tokea wapate Katiba mpya bora hawana mambo ya kufichaficha kama hii Misukule ilioachwa na yule Mzee wa KihutuSijui kwanini Kenya huwa wanapenda sana kuichokoza tz