Ninavyoshauri mm nadhani angeonywa kwanza kwa kuelezwa huenda angeelewa na akabadili tabia maana ni muumin wa huko pia,na si dini inasema wao kwa wao ni ndugu?!,Ime nuiwa hii
Haponi mtu
Kaaazi kweli kweli
Ukimuomba Mungu chochote hakikisha kwanza wewe ni msafi. Sasa kama hao mashehe wana madhambi yao na hawajatubu Mungu hatawasikiliza kamwe!Ha ha ha Dua zao hizo si mchezo sema tatizo haya mambo hayavuki bahari .
Mkuu unajua maana ya matusi?Nafikiri wengi wetu hujibu kwa hisia but watukanaji matusi ya nguoni ni wachache.
Binafsi nikitukana huwa najiona mjinga wa mwisho. Utukanaji ni aina flani ujinga uliojichimbia chini sana na ambao hupunguza heshima.
Nafikri matusi tuwaachie makuli
Hivi alitukanwa na Mange au alisingiziwa kuhusika na kampenisasa hapa shehe wetu atajitofautishaje na Mange?
mimi ninaamini kunyamaza dhidi ya matusi kama yale ndiyo hekima kubwa kupita zote!
Mkuu inamaana naule uchafuzi dhidi ya mamvi kuwa fisadi na kashfa zoooote alitwishwa wakati wa kampeni haikuwa ujinga siyo,au ujinga huja kulingana na anaechafua,kuchafua watu bila ushahidi thabiti ni ujinga
Hivi tuandikapo sasa hivi Mange kesha mshukia kwa maneno makali sana yanayoweza kumuaibisha kabisavSheikh wetu.Mimi ningemshauri shehe huyu asijiingize kwenye malumbano na Mange!! Hicho kibarua sijui kama ana muda nacho au atakiweza!!!! Ligi na Kimambi ni wachache wanaoweza kuimudu!!!
Kwahiyo ni dhambi au ukiukwaji wa sheria kwake kuwepo kwenye hicho kikao?Umeiona ile ingine mkuu yupo kati ya kikao cha kijani,
Hivi mmemsikiliza hoja yake iliyomfanya kusema haya??huyu sheikh atakua mchawi,anaenda kuloga afu atasingizia ni albadir,mie mambo ya chama ni yake,anaruhusiwa kuchagua chama atakacho,ila kujibizana na Mange,ubaya wako wote utawekwa watu wakuone ulivyo uchi...jiandae sheikh
Hivi mmemsikiliza hoja yake iliyomfanya kusema haya??