fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,537
Shekhe katuzinguwa sana waislamu shekhe hana subra shekhe hana utulivu wa nafsi shekhe analeta mambo ya kuwasiliana na mungu moja kwa moja na kutambua maombi yake kuwa yatakubaliwa 100%
Shekhe unataka kumfananisha mungu na bina adamu shekhe tafadhali tutake radhi waislamu hakika na sisi tunahaki ya kumuomba Allah atuondoleye haya madhila tunayopata kupitia wewe Hakika umetudhalilisha sana hakika yawezekana Allah anakukumbisha kuwa umejisahau ndio maana yakakukuta haya leo hii shekhe ukitukanwa na mlevi utamfuata baa kwenda kumtukana au kumtishia shekhe tubu Allah ni mwingi wa Rehma anaweza kukuponya