DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Shekhe katuzinguwa sana waislamu shekhe hana subra shekhe hana utulivu wa nafsi shekhe analeta mambo ya kuwasiliana na mungu moja kwa moja na kutambua maombi yake kuwa yatakubaliwa 100%

Shekhe unataka kumfananisha mungu na bina adamu shekhe tafadhali tutake radhi waislamu hakika na sisi tunahaki ya kumuomba Allah atuondoleye haya madhila tunayopata kupitia wewe Hakika umetudhalilisha sana hakika yawezekana Allah anakukumbisha kuwa umejisahau ndio maana yakakukuta haya leo hii shekhe ukitukanwa na mlevi utamfuata baa kwenda kumtukana au kumtishia shekhe tubu Allah ni mwingi wa Rehma anaweza kukuponya
 
Sheikh wetu
Sheikh wetuuu.
mange utakoma.
Al badri hyooo.
SHEIKH KATINGWA.
 
sasa hapa shehe wetu atajitofautishaje na Mange?
mimi ninaamini kunyamaza dhidi ya matusi kama yale ndiyo hekima kubwa kupita zote!
 
Ime nuiwa hii
Haponi mtu
Kaaazi kweli kweli
Ninavyoshauri mm nadhani angeonywa kwanza kwa kuelezwa huenda angeelewa na akabadili tabia maana ni muumin wa huko pia,na si dini inasema wao kwa wao ni ndugu?!,
Ingetumika busara kwanza ya kumrekebisha,akishindikana Mungu wake anajua la kumfanya na ni kumkabidhi yy,maana Mungu anapenda watu wasipotee ndo maana kaamrisha kukatazana mambo mabaya siyo kuua wabaya
 
Hiyo mahakama ndo ile waliyoitumia kipindikile wanamuombea Bashite ama hii ni nyingine?? sasa hakuna asiyejua kama huyu ni kada mzuri tu wa sisiemu else anataka nayeye atokee kwenye hizo fontifage za kesho!!
 
Mimi ningemshauri shehe huyu asijiingize kwenye malumbano na Mange!! Hicho kibarua sijui kama ana muda nacho au atakiweza!!!! Ligi na Kimambi ni wachache wanaoweza kuimudu!!!
 
Ha ha ha Dua zao hizo si mchezo sema tatizo haya mambo hayavuki bahari .
Ukimuomba Mungu chochote hakikisha kwanza wewe ni msafi. Sasa kama hao mashehe wana madhambi yao na hawajatubu Mungu hatawasikiliza kamwe!
 
Nafikiri wengi wetu hujibu kwa hisia but watukanaji matusi ya nguoni ni wachache.
Binafsi nikitukana huwa najiona mjinga wa mwisho. Utukanaji ni aina flani ujinga uliojichimbia chini sana na ambao hupunguza heshima.
Nafikri matusi tuwaachie makuli
Mkuu unajua maana ya matusi?
Matusi ya matendo ni mabaya kuliko matusi ya maneno,
Kawaulize waliobakwa wanajiskiaje baada ya kufanyiwa dhurma hyo,
Waulize walio nang'anywa wake zao wanajiskiaje kwa hilo,
Kuna matusi ya kutamka na kuna matusi ya kufanywa ila yote ni matusi,
Ndo maana niliongea vile,haya jipime km na ww si mtukanaji wa sirisiri,yaani mtukanaji mnafki
 
sasa hapa shehe wetu atajitofautishaje na Mange?
mimi ninaamini kunyamaza dhidi ya matusi kama yale ndiyo hekima kubwa kupita zote!
Hivi alitukanwa na Mange au alisingiziwa kuhusika na kampeni
Mm sijaelewa
 
Sheikh acha mambo ya siasa mbovu kuutumia uislam kueneza chuki zenu binafsi mambo ya insta unaita waandishi wa habari jibu huko huko kama JZ na Trump hawaiti waandishi wanajibizina huko huko Tweeter...
 
kuchafua watu bila ushahidi thabiti ni ujinga
Mkuu inamaana naule uchafuzi dhidi ya mamvi kuwa fisadi na kashfa zoooote alitwishwa wakati wa kampeni haikuwa ujinga siyo,au ujinga huja kulingana na anaechafua,
Malofa vipi haikuw uchafuzi?
Naomba kujuzwa
 
Mimi ningemshauri shehe huyu asijiingize kwenye malumbano na Mange!! Hicho kibarua sijui kama ana muda nacho au atakiweza!!!! Ligi na Kimambi ni wachache wanaoweza kuimudu!!!
Hivi tuandikapo sasa hivi Mange kesha mshukia kwa maneno makali sana yanayoweza kumuaibisha kabisavSheikh wetu.
Sasa hayo mengine sijui kuhusu Tigo si itakuwa fedheha kubwa? Sheikh amtake radhi Mange kuwa hajakusudia kumuua mwaka huu Ila alimaanisha kumuombea dua awe MTU mkubwa aache tabia hiyo.
Mpare yule hata nyamaza mwaka mzima huu
 
Kwa hili Sheikh angekaa kimya tu maana huko kwenye li page la Mange Instagram imeshakuwa patashika nguo kuchanika mpaka giza likiingia lazima Shekhe ajibu tu la sivyo aharakishe zoezi lake la kumshtakia isiwe Mwaka angalau wiki moja tu Aresti in Pisi
 
huyu sheikh atakua mchawi,anaenda kuloga afu atasingizia ni albadir,mie mambo ya chama ni yake,anaruhusiwa kuchagua chama atakacho,ila kujibizana na Mange,ubaya wako wote utawekwa watu wakuone ulivyo uchi...jiandae sheikh
 
Mh. Shekh Mkuu wa Dar, so far so good. Mange hatamaliza mwaka. Sasa ,naweka na herufi kubwa, NAKUOMBA KWA NGUVU YA KAULI YA ULIMI WAKO, YULE ALIYEMPIGA, ALIYEAMRISHA AU KUHUSIKA KWA NAMNA YOYOTE KUPANGA KUMPIGA RISASI TUNDU LISU ASIFIKE MWISHO WA MWAKA KAMA LISU HANA MAKOSA YOYOTE KUHUSIANA NA KUPIGWA KWAKE RISASI
 
huyu sheikh atakua mchawi,anaenda kuloga afu atasingizia ni albadir,mie mambo ya chama ni yake,anaruhusiwa kuchagua chama atakacho,ila kujibizana na Mange,ubaya wako wote utawekwa watu wakuone ulivyo uchi...jiandae sheikh
Hivi mmemsikiliza hoja yake iliyomfanya kusema haya??
 
Back
Top Bottom