Kuna shida gani kwenda huko na kusoma hizo Habari?kumbe na wewe unaenda kwenye page ya mange?....ndio maana una akili ndogo kama piriton
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] imebidi tu nichekeShekhe Tito njoo ujibu
Sio wewe tu mkuu, taifa zima linacheka! Da Mange hapana, ...ukikaa sawa lazima akulengete!![emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] imebidi tu nicheke
Halafu ana followers wanaompa kila kisichojulikana na wengineSio wewe tu mkuu, taifa zima linacheka! Da Mange hapana, ...ukikaa sawa lazima akulengete!!
Kuna mtu kampenyezea Mange upupu mwingine wa Shekhe afu anamwambia Mange arelax mtu mchafu yule dua yake haivuki ata nguzo ya umeme kwenda mbinguni [emoji23][emoji23][emoji23]Halafu ana followers wanaompa kila kisichojulikana na wengine
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mbona uko macho sasaNitarudi kuchangia asubihi, mida ya wanga hii.
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mtu kampenyezea Mange upupu mwingine wa Shekhe afu anamwambia Mange arelax mtu mchafu yule dua yake haivuki ata nguzo ya umeme kwenda mbinguni [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa napita tu, mida yenu hii mshana[emoji3] [emoji3] [emoji3] mbona uko macho sasa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] karibu tenaNilikuwa napita tu, mida yenu hii na mshana
read btn the lines mjomba, usipende kulinganisha mambo. Kwanza angalia chanzo then zama deep ujue nani mkosaji nani yupp sahii, kwa maoni yangu Sheikh alitakiwa akae kimya. Sasa ameuwasha Moto WA mafuta ya taaNimesoma post nyingi inasikitisha sana, inaonesha hakuna muislama aliechangia au waislam hawajitambui, sidhani matusi haya yangeenda kwa Pengo, Gwajima nk kama watu wangemuunga mkono Mange kiasi hiki. Kiongozi wa waislam kutukanwa na muislam akaunga mkono hoja labda awe amebatizwa