DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Hahaha mbona tusio na ajira tupo wengi na tunazo qualifications za kujaza nafasi zao. Waje huku wote tukae benchi. Mtoa haki ukituhumiwa hata sio vizuri, acha nasisi tukajaze hizo nafasi wajifunze kwetu, next time wasirudie michezo michafu.
 
Yap kwan sikwel sheikh kaingia choo cha kike kajidhalilisha mwanyewe au kaingia kwny box la Mange duh
 
Sasa mpaka ambao tulikuwa hatumjui, tumemjua.
Ahsante Mange, kumbe ndo alivo huyu kiongozi!!
 
Mshana, huyu, kama ilivyo kwa viongozi wengi wa dini yetu, elimu kubwa waliyo nayo ni madrasa au elimu ya dini/elimu AHERA. It is not that much formal and integrative of other academics such as philosophy, psychology and the like. Hivyo hiki alichokifanya Musa Salum, sijashangaa sana. Kama unakumbuka Gwajima alipomtukana Pengo, Pengo never responded! Pengo is highly trained in such mentioned fields and in quite a formal way!
 
Masheikh wa bakwata wanafanana tabia,utasema wote ndugu
 
Alipashwa amuombee kwa mwenyezi Mungu amrejeshe kwenye mstari na sio kumlaani,
Mtume alipigwa mawe na akawaombea waliompiga Mungu awasamehe, Yesu pia aliwaombea wakosaji wasamehewe

Lumumba huwa maombi yao huyafanya kupitia Kwa watu wasiojulikana
 
Mshana nawezaje kujiunga na insta/kumfollow Mange nikawa napata what she posts on her page! nielekeze PM please
Hata Hapa hapa tu kama hutojali... Ingia Instagram andika jina la unayetaka kumfuata (follow) ukishampata kuna kitufye cha ku follow bofya hicho kin a rangi ya blue kavu..
 
bora angekaa kimya akaendelea na ibada zake kumjibu mange nikama kudandia treni kwa mbele au kipiga mbizi kwenye lami mtu muda wote yupo instagram unatafta malumbano nae? na waumini wake mange wanavomsapoti sasa
 
Dada usiku kucha anatiririsha scandals za sheikh tu! Dada kamwacha sheikh mtupu huko insta.... Wabongo noma... Wamemtumia Dada ma issue kibao!
 
hao wore wanajuana Mange ni muislam na sheikh ni muislamu ,watasuluhishwa na bakwata
 
Na yeye mwisho wake ni lini?
Hapo ndo naona sheikh katingwa.MTU usojua kesho yako unamwambia mwenzio mwisho wake.Halafu anampangia huyo Mungu wake majibu ya sala ambayo atamwomba .kazi kweli kweli.Ingekuwa heri kwake angefanya kimya kimya hayo ya moyoni mwake maana ikitokea Mange hajadhurika ataficha wapi sura yake?Maana hapo tu ukimtizama vizuri macho yamemwiva sawia nahisi alikuwa analia.Kaongea hadi huruma eti Quran na Biblia havijaruhusu kutukana kasahau Biblia inasema samehe saba mara sabini ingefaa angetumia Quran kutoa hoja zake maana kwa hoja zake yupo nje ya Biblia asilimia zote.Ila nampa tu pole kwa maswahimu,na kumshauri amwombee Mange aache kutukana maana hizo dua za kufa anaweza kutangulia hata yeye.
 
Hata Hapa hapa tu kama hutojali... Ingia Instagram andika jina la unayetaka kumfuata (follow) ukishampata kuna kitufye cha ku follow bofya hicho kin a rangi ya blue kavu..
asante, that is easy to do. Thanks!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…