DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Kwa hiyo wewe ni shuhuda wa yanayosema dhidi yake....?
Bado nasisitiza tena ni busara Jamiiforums ikajitenaga na huu upuuzi wa kina Mange na wafuasi wake....sioni mwisho mzuri
Atajua mwenyewe

Mimi sio shuhuda ila huo ndo ukweli uliotushinda kusema sie wadhaifu
 
Sheikh umechemsha, Mdomo wako kwa kunena na kuwa MNAFIKI, ndume la kuwili, mzandiki, mchovu, muongo na unatafuta umaarufu kwa kukaribishwa kahawa ikulu.

Unaipigia kampeni kwa CCM. Kwa nini unaalikwa na CCM tu kama upo kwenye kamati ya AMANI.

Nenda ukamuamkie BASHITE.

Unafanya kampeni kwa CCM, NA USINGEFANYA USINGELIALIA. LAANA INAKUPATA. pOLE SANAAAAAAAAA Sheikh ubwabwa.
 
Kwa hiyo wewe ni shuhuda wa yanayosema dhidi yake....?
Bado nasisitiza tena ni busara Jamiiforums ikajitenaga na huu upuuzi wa kina Mange na wafuasi wake....sioni mwisho mzuri
Mbona jamiiforums nayo kahituhumu kasema atapeleka malalamiko yake ili tushughulikiwe, huu ugomvi wala haukuhusu wewe kaa pembeni wachuane . Aliyelianzisha alimalize, period mimi nipo nimenunua kabisa mashine ya kutengeneza popcorn maana kununua kila siku napata hasara series ni ndefu sana hii
 
hahahaha albadil inamuhusu akiendeleaa
kinywa kichafu siku zote hunena mabaya na si mema.mange kimambi dada yetu [HASHTAG]#ukatubu[/HASHTAG]
No! Mange Kimambi is right. Hivi Sheakh Alhad, sio jana tu ulipewa ushauri usijibizane na Mange? What did you do? Vumilia , and you must pay this bitter price. Hadi sasa umeshachafua CV ya kukubeba kuwa Sheakh Mkuu Mtarajiwa ambayo ulikuwa nayo, very poor of you. Usicheze na Mange bana that little girl is very smart upstairs.
 
Kwa hiyo wewe ni shuhuda wa yanayosema dhidi yake....?
Bado nasisitiza tena ni busara Jamiiforums ikajitenaga na huu upuuzi wa kina Mange na wafuasi wake....sioni mwisho mzuri
mange anatumia jina gani jf? nasikia alishajitoa jf
 

Ukijifananisha na jamii ya watu fulani basi upo miongoni mwao. hiyo ni hadith kama angeitumia haya yasingemfika kwenye msiba yeye alitakiwa awe nutral mkuu make hadi vikao vya kijani yeye ni mdau na hata ma lalenda machapisho na utoaji wa matamko yasiyo husu dini na yeye yumo, hivyo lazima ni miongoni mwao make tayari kajifananisha nao. Dini na siasa za bongo wapi na wapi? Shekhe baada ya kunukuu maneno kutoka kwenye vitabu eti anakuja na story za kimbea mbea kutoka IG.
 
Msichezee imani za watu, subirini muone. Kuna visomo kaka wewe au sijui dada wewe au ndio mange mwenyewe. Usicheze na Qur’an! Huyo Mange Sio kama atakufa ila ataacha kutukana Watu.
Kaaaazi kweli kweli
 
40 iko pale pale
 
mange anatumia jina gani jf? nasikia alishajitoa jf
yupo sana jf tena ni verify user,zamani alipewa life ban kwa maneno yake ya shombo,akawa anafungua ID tofauti tofaiti uongozi wa JF ukampa IP adress ban,2014 mwishoni sijui walielewana na uongozi JF nini akarudi kama verify user akawa mstaarabu sana ,fujo kahamishia Instragram........
 
Shekhe bana kaingia cha kike alitakiwa kufyata mdomo tu aache yapite madhara ya kutupiana maneno na watoto wa kileo ndo atayaona sasa
 
yupo sana jf tena ni verify user,zamani alipewa life ban kwa maneno yake ya shombo,akawa anafungua ID tofauti tofaiti uongozi wa JF ukampa IP adress ban,2014 mwishoni sijui walielewana na uongozi JF nini akarudi kama verify user akawa mstaarabu sana
hapana.. atakuwa na id ya uongo.
 
Tatizo na sisi watanzania hatujielei ..mange zimefyatuka kichani
 
WE NEED MANGE NOW !MORE THAN EVER Haaa haaaaaa! The voice of the voiceless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…