Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Atajua mwenyeweKwa hiyo wewe ni shuhuda wa yanayosema dhidi yake....?
Bado nasisitiza tena ni busara Jamiiforums ikajitenaga na huu upuuzi wa kina Mange na wafuasi wake....sioni mwisho mzuri
Mimi sio shuhuda ila huo ndo ukweli uliotushinda kusema sie wadhaifu