DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

This is historical now, but still.

Sheikh kashauandikia uongozi wa Jamiiforums kuwapa habari sahihi na kuwataka waondoe habari zisizo sahihi?

Jamiiforums ina "user generated content", si lazima iwe na maoni ya wanachama wake.

Namna ya Networks za hivi zinavyofanya kazi, ikiwa habari ni ya uzushi kabisa, unawasiliana na uongozi, uongozi unaitoa.

Mfumo hu upo Facebook, Youtube, Instagram, Twitter etc

Sheikh anaelewa hilo?

Au anafikiri Jamiiforums ni gazeti ambalo kila kinachoandikwa kimepitiwa na kuruhusiwa na Mhariri?
 
WADAU NAWAKUMBUSHA TU MANGE AMEBAKIZA SIKU 43 IWE MWISHO WAKE WA KUONGEA......IKIANZA 1 JAN 2019 MANGE HATOONGEA TENA HII NI KWA MUJIBU WA SHEIKH WA MKOA WA DAR ALHADI.
huyu shekhi ubwabwa wa lumumba naskia yupo kwenye listi ya KONKI eti ni kweli?[emoji12] [emoji196] [emoji90] [emoji90]
 
Naona amesha acha KUANDIKA mbofu mbofu anapambana na akina Dudu Baya na Diamond.
Ndo size yake.Asitie dowa uana harakati hauna watu kama yeye
huyu shekhi ubwabwa wa lumumba naskia yupo kwenye listi ya KONKI eti ni kweli?[emoji12] [emoji196] [emoji90] [emoji90]
 
Dua linafanya kazi kweli sijawahi kuona Mange anasalimu amri tangia nianze kumjua tangu 2008 ila kwa mara ya kwanza amesalimu amri kwa Dudubaya KONKIx3 Masta.
Hahaaaaaaa konki master , ila bongo nimeamini kwa sasa ni rahisi sana mtu kuwa maarufu , yaani dudubaya mimi nilikuwa nafikiri alishafariki ila ukonki master ukampa kiki na sasa hivi ni moja kati ya watu wanaoshikilia headlines za social media
 
Konki alikuwa amekwisha kabisa mwili ulipululuka ila baada ya kutaja list na kupata show mwili umeanza kurudi.
 
Kale kademu kameshanunuliwa, eti leo ndo kanajifanya eti kanajali kulinda maisha yake!, Kwani siku zote kalikuwa hakajui kuwa ni hatari kupambana na system?, Au kalifikiri mabadiriko yanaletwa kwa harakati za mwaka mmoja miwili tu?

Halafu kanajiona eti kalikuwa kakombozi, sijui kanadhani sasa ndo tumeshakombolewa?

Mpigania haki wa ukweli haachi kuipigania hata kama watu wote hawamuelewi. Kenyewe kameshapata Kiki basi kameridhika. Soon katakuwa irrelevant mtandaoni, na wote wenye akili waliodhani kanapigania haki kweli watakapuuza na katapoteza attention za watu!. The higher she has gone the lower she shall fall!.

Kamebaki kuposti Makalio ya Mobeto na kujibinuabinua makalio insta baasi!

Kanasafiria nyota ya Mobeto sasa hivi hakana ishu!
 
Back
Top Bottom