Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa wanamuomba mungu siyo MUNGU,Ni kweli mkuu najiulizaga sana hawa watu wanamtumia Mungu yupi hasa ambae wanakua na majibu tayari kwa kile ambacho Mungu huyo anaenda kufanya kiasi cha kukaa na kutangaza
Kwa kusoma ujinga na kutangaza kwamba hujapungukiwa na kitu, hiyo pekee ni kupungukiwa na akili. Labda kama akili yako siyo kitu.Usiposoma wewe nitasoma mimi, na wala hatupungukiwi kitu nymbafu we
Wachumia tumbo hao mkuu,,achana naoHivi huyu shekhe Musa Alhadi na aakofu Pengo wameitisha press kulaani mauaji ya Aquilina?
RubbishDada Mange Kimambi huku Tanzania kuna mchezaji anaitwa *EMMANUEL ANORD OKWI* anachezea SIMBA *tunaomba umchambe*.
Huyu wakati anasajiliwa Simba tulimwita MHENGA lakini sasa ndiye anaongoza kufunga magoli yaani YANGA hatuna raha kabisa na kwa jinsi spidi yake ilivyokali atafanya YANGA tukose ubingwa.
Da Mange please hide my ID
[emoji40] [emoji40] [emoji124] [emoji124]Hivi huyu shekhe Musa Alhadi na aakofu Pengo wameitisha press kulaani mauaji ya Aquilina?
Rubbish
Zitto kwa MUSIBAWADAU NAWAKUMBUSHA TU MANGE AMEBAKIZA SIKU 43 IWE MWISHO WAKE WA KUONGEA......IKIANZA 1 JAN 2019 MANGE HATOONGEA TENA HII NI KWA MUJIBU WA SHEIKH WA MKOA WA DAR ALHADI.
Zitto naye alitoa siku ngapi kwa musiba? naona anazidi kumuandama kwenye kifungashio chake cha maandazi.Zitto kwa MUSIBA
Zitto naye alitoa siku ngapi kwa musiba? naona anazidi kumuandama kwenye kifungashio chake cha maandazi.
Siku 7 za kuomba msamaha na inaonyesha hajaomba kwahiyo tutarajie majanga kwa musiba siku za usoni maana zitto hakutoa siku ambazo majanga yatamtokea.
Ngoja tuone tarehe 1 january 2019 kama mange ataongea au kuandika maana ndio mwisho kuongea mwaka 2018 ikiingia 2019 hatoongea wala kuandika.Kama Shekhe hajielewi vile....
Naona amesha acha KUANDIKA mbofu mbofu anapambana na akina Dudu Baya na Diamond.WADAU NAWAKUMBUSHA TU MANGE AMEBAKIZA SIKU 43 IWE MWISHO WAKE WA KUONGEA......IKIANZA 1 JAN 2019 MANGE HATOONGEA TENA HII NI KWA MUJIBU WA SHEIKH WA MKOA WA DAR ALHADI.