DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Kutishia kumfanyia mtu baya nalo ni kosa kubwa huyu Sheikh ajiuzulu kwa kukosa roho ya Subra na Ustahimilivu
 
Alichoongea hakikubaliki kabisa,kwa ulazima upi hadi utukane
 
Hivi huyu shekhe Musa Alhadi na aakofu Pengo wameitisha press kulaani mauaji ya Aquilina?
 
Dada Mange Kimambi huku Tanzania kuna mchezaji anaitwa *EMMANUEL ANORD OKWI* anachezea SIMBA *tunaomba umchambe*.

Huyu wakati anasajiliwa Simba tulimwita MHENGA lakini sasa ndiye anaongoza kufunga magoli yaani YANGA hatuna raha kabisa na kwa jinsi spidi yake ilivyokali atafanya YANGA tukose ubingwa.

Da Mange please hide my ID
Rubbish
 

usiseme hivyo aisee, kule intagraf ndo wale mizukule ambao katikati yao mungu wa umbea wa mitandaoni mambe kimangi amezipofusha akili za watu wasiotaka kutumia vizuri uwezo wao wa kufikiri, ili waamini kila kitu anachowaambia. Kifupi amewashikia akili. hawatafakari hata chembe. Hizo ndo aina za msg wanazomtumia, halafu wanamalizia chini..... please hide my id.
 
WADAU NAWAKUMBUSHA TU MANGE AMEBAKIZA SIKU 43 IWE MWISHO WAKE WA KUONGEA......IKIANZA 1 JAN 2019 MANGE HATOONGEA TENA HII NI KWA MUJIBU WA SHEIKH WA MKOA WA DAR ALHADI.
Naona amesha acha KUANDIKA mbofu mbofu anapambana na akina Dudu Baya na Diamond.
Ndo size yake.Asitie dowa uana harakati hauna watu kama yeye
 
Back
Top Bottom