pundadumeafrika
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 1,619
- 2,074
Huoni dalili?Hilo dua la kuku mbona bado halijampata Kimambi bado ?
Amefika bei kwa Magufuli bado ana hasira na Bashite tuHuoni dalili?
Anachambana na Kina wema tu kaachana na Magufuli na serikali kabisaaa
Na watu wote isipokuwa bashite.
Subiri Tarehe 1 January 2019.Hilo dua la kuku mbona bado halijampata Kimambi bado ?
Ila kweli maana naona hadi akina dudubaya anapambana nao kwenye media , comment yako imenifikirisha , yawezekana dua imeanza kufanya kaziHuoni dalili?
Anachambana na Kina wema tu kaachana na Magufuli na serikali kabisaaa
Na watu wote isipokuwa bashite.
huyu shekhi ubwabwa wa lumumba naskia yupo kwenye listi ya KONKI eti ni kweli?[emoji12] [emoji196] [emoji90] [emoji90]WADAU NAWAKUMBUSHA TU MANGE AMEBAKIZA SIKU 43 IWE MWISHO WAKE WA KUONGEA......IKIANZA 1 JAN 2019 MANGE HATOONGEA TENA HII NI KWA MUJIBU WA SHEIKH WA MKOA WA DAR ALHADI.
huyu shekhi ubwabwa wa lumumba naskia yupo kwenye listi ya KONKI eti ni kweli?[emoji12] [emoji196] [emoji90] [emoji90]Naona amesha acha KUANDIKA mbofu mbofu anapambana na akina Dudu Baya na Diamond.
Ndo size yake.Asitie dowa uana harakati hauna watu kama yeye
Dua linafanya kazi kweli sijawahi kuona Mange anasalimu amri tangia nianze kumjua tangu 2008 ila kwa mara ya kwanza amesalimu amri kwa Dudubaya KONKIx3 Masta.Ila kweli maana naona hadi akina dudubaya anapambana nao kwenye media , comment yako imenifikirisha , yawezekana dua imeanza kufanya kazi
Hahaaaaaaa konki master , ila bongo nimeamini kwa sasa ni rahisi sana mtu kuwa maarufu , yaani dudubaya mimi nilikuwa nafikiri alishafariki ila ukonki master ukampa kiki na sasa hivi ni moja kati ya watu wanaoshikilia headlines za social mediaDua linafanya kazi kweli sijawahi kuona Mange anasalimu amri tangia nianze kumjua tangu 2008 ila kwa mara ya kwanza amesalimu amri kwa Dudubaya KONKIx3 Masta.
Konki alikuwa amekwisha kabisa mwili ulipululuka ila baada ya kutaja list na kupata show mwili umeanza kurudi.Hahaaaaaaa konki master , ila bongo nimeamini kwa sasa ni rahisi sana mtu kuwa maarufu , yaani dudubaya mimi nilikuwa nafikiri alishafariki ila ukonki master ukampa kiki na sasa hivi ni moja kati ya watu wanaoshikilia headlines za social media
Subiri january 1 ,2019 ndio utaconclude.Imeshatokea walahi
hamshindi hamorapaHahaaaaaaa konki master , ila bongo nimeamini kwa sasa ni rahisi sana mtu kuwa maarufu , yaani dudubaya mimi nilikuwa nafikiri alishafariki ila ukonki master ukampa kiki na sasa hivi ni moja kati ya watu wanaoshikilia headlines za social media
malipo ya bashiteKonki alikuwa amekwisha kabisa mwili ulipululuka ila baada ya kutaja list na kupata show mwili umeanza kurudi.
Alitoa masaa 24 Musiba amwombe radhi. Mpk leo kimya, Zitto ndo amenywea kudadadekiZitto naye alitoa siku ngapi kwa musiba? naona anazidi kumuandama kwenye kifungashio chake cha maandazi.
Konki Master mtu wa Mungu