Usipingane na Baraza La Ulamaa, wamemla kichwa mapema sana sasa wale masheikh sharif majini na mwaipopo waliokua wanamtukana sheikh kabeke wameishia wapi?
Usipingane na Baraza La Ulamaa, wamemla kichwa mapema sana sasa wale masheikh sharif majini na mwaipopo waliokua wanamtukana sheikh kabeke wameishia wapi?
Bado wanaongea halafu wanaitana chawa bila aibu
Hawa watu sijui nani aliwafundisha dini
Hawana staha wala heshima na maadili hawana
Dini inachezewa na wahuni
Kwa kuangalia maneno yao utaona kuna mvutano kama Chama cha kisiasa tu
Dini inataka watu wenye Hekima hata wanapozungumza wawe na staha bila jazba na matusi sasa hawa ni kama wachawi tu