DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

Hapo kagusa pabaya hivi anajua uzito wa viongozi wa dini?
 
P%2B2.JPG
 
Mkuu inamaana naule uchafuzi dhidi ya mamvi kuwa fisadi na kashfa zoooote alitwishwa wakati wa kampeni haikuwa ujinga siyo,au ujinga huja kulingana na anaechafua,
Malofa vipi haikuw uchafuzi?
Naomba kujuzwa
Ujinga ni ujinga tu haijalishi kafanya nani,kuchafuliwa kwa Edo sio sababu ya wewe umchafue mwingine huo ni Ujinga zaidi. Halafu ufisadi wa Edo kwani nani haujuwi, he is fisadi ukweli ndo huo nenda kachek Mafaili ya CDM pale Sumbawanga tribe Kaangalie orodha ya mafisadi Tanzania lazima ukute jina lake.(LIST OF SHAME).
 
Ujinga ni ujinga tu haijalishi kafanya nani,kuchafuliwa kwa Edo sio sababu ya wewe umchafue mwingine huo ni Ujinga zaidi. Halafu ufisadi wa Edo kwani nani haujuwi, he is fisadi ukweli ndo huo nenda kachek Mafaili ya CDM pale Sumbawanga tribe Kaangalie orodha ya mafisadi Tanzania lazima ukute jina lake.(LIST OF SHAME).
mahakama ndiyo pekee inayoweza kusema fulani ni fisadi na siyo list of shame
 
Viongozi wengi wa dini wamekuwa wanafiki heshima yao imepungua katika jamii wamekuwa wakitumia na wanasiasa wanavyotaka
 
Sheikh pambana na Mange tu,tuachie JF yetu maana JF ni sehemu tu ya kuhemea na kutolea povu kama Instagram. Humu mkienda mahakamani watakwambia mtaje aliyekurusha utakwama,maana majina ya humu ni kama ya mazimwi MTU.Shikamoo Dada Mange!
 
Dini zinafundisha kusameheana,upendo na upole ,mbona shehe anahubiri visasi na malipizi? Haya sasa Mange ashalipua Bomu kule,,,,hatari sana .Shehe na JICHO tena DDDD
 
Utapeli mtupu.albadili au kisomo Ndiyo nini. Fix tupu kumtishia mtu unaweza kumdhuru Kwa kuongea au kutamka maneno. Kungekuwa na albadili kusingekuwa na watu wanajilipua.angalia syria au iraq wanawvyouwana kwa mabomu na risasi.kwanini wasitumie albadili na wao Ndiyo wenye dini ya albdadili.zama hizi zimebadilika na watu wengi wamekuwa waelewa wa mambo
wewe una zani wasyria iraq ndio wenye dini... kwa andiko gani mkuu...!? dini sio mali ya mtu... ndipo hapa kila mtu ana imani yake na unapo pambana na mtu uwe na uwezo wa kupambana nae, kuna kushindwa na kushinda... kama uta jiandaa vyema na utakuwa na uwezo wa kupambana...
 
Kwa hyo hata Mange akiamua nae kumuomba huyo mungu wako nae aue anaetaka yy afe mungu wako anatekeleza tu,kwa mujibu wa aya unayotaka kutupa,
Nadhani kuna mambo tunaweka ujuzi wa kibinadamu halafu tunamsingizia MUNGU
ana ombaje kwa mungu wangu mimi kama yeye haamini katk mungu ninaye muamini mimi...? jaribu kutafakari hapo
 
Sheikh, mwenye mamlaka ya kuondoa uhai wa binadamu ni Mola peke yake na sio wewe na Mola wetu kamwe hawezi kupokea DUA yako ya kuondoa uhai wa mtu, labda kama ni 'njia nyingine' nazo sidhani kama zitafanikiwa.
 
Sheikh wa Mkoa......nini tena hii.......???
Nimuombe Mufty akupeleke kwenye Leadership trainings kama vile Management by Objectives etc
 
Sheikh hapo sasa ndio anaharibu, sijui kakosa washauri ama?

Huyo Mange kama hamjui si angeulizia kwa wengine, nadhani majibu yangetosha kumfanya ampuuze tu na afanye shughuli zake.

Mange ametukana hata kina Pengo lakini umesikia wapi wakihangaika naye?

Mwendawazimu kachukua nguo zako, usitoke mtoni uchi kumkimbiza Sheikh.
 
yaani unaona sawa,mtanzania mwenzio kusomewa albadir???kwa lipi hasa??wti mwisho,umekua Mungu?
Wapi nimesema hivyo??
Msipende kulisha watu maneno au unavyofikiri wewe usidhani kila mtu anafikiri kama wewe, binadamu tunafikiri tofauti.
Ni wapi nimesema hivyo kuwa asomewe albadir??
 
Back
Top Bottom