Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona viongozi w dini wanalawiti, wanatembea na wake za watu, wanIba sadaka, etc acha kuwakweza. Ni watu kama yeyoteHapo kagusa pabaya hivi anajua uzito wa viongozi wa dini?
Ujinga ni ujinga tu haijalishi kafanya nani,kuchafuliwa kwa Edo sio sababu ya wewe umchafue mwingine huo ni Ujinga zaidi. Halafu ufisadi wa Edo kwani nani haujuwi, he is fisadi ukweli ndo huo nenda kachek Mafaili ya CDM pale Sumbawanga tribe Kaangalie orodha ya mafisadi Tanzania lazima ukute jina lake.(LIST OF SHAME).Mkuu inamaana naule uchafuzi dhidi ya mamvi kuwa fisadi na kashfa zoooote alitwishwa wakati wa kampeni haikuwa ujinga siyo,au ujinga huja kulingana na anaechafua,
Malofa vipi haikuw uchafuzi?
Naomba kujuzwa
mahakama ndiyo pekee inayoweza kusema fulani ni fisadi na siyo list of shameUjinga ni ujinga tu haijalishi kafanya nani,kuchafuliwa kwa Edo sio sababu ya wewe umchafue mwingine huo ni Ujinga zaidi. Halafu ufisadi wa Edo kwani nani haujuwi, he is fisadi ukweli ndo huo nenda kachek Mafaili ya CDM pale Sumbawanga tribe Kaangalie orodha ya mafisadi Tanzania lazima ukute jina lake.(LIST OF SHAME).
wewe una zani wasyria iraq ndio wenye dini... kwa andiko gani mkuu...!? dini sio mali ya mtu... ndipo hapa kila mtu ana imani yake na unapo pambana na mtu uwe na uwezo wa kupambana nae, kuna kushindwa na kushinda... kama uta jiandaa vyema na utakuwa na uwezo wa kupambana...Utapeli mtupu.albadili au kisomo Ndiyo nini. Fix tupu kumtishia mtu unaweza kumdhuru Kwa kuongea au kutamka maneno. Kungekuwa na albadili kusingekuwa na watu wanajilipua.angalia syria au iraq wanawvyouwana kwa mabomu na risasi.kwanini wasitumie albadili na wao Ndiyo wenye dini ya albdadili.zama hizi zimebadilika na watu wengi wamekuwa waelewa wa mambo
ana ombaje kwa mungu wangu mimi kama yeye haamini katk mungu ninaye muamini mimi...? jaribu kutafakari hapoKwa hyo hata Mange akiamua nae kumuomba huyo mungu wako nae aue anaetaka yy afe mungu wako anatekeleza tu,kwa mujibu wa aya unayotaka kutupa,
Nadhani kuna mambo tunaweka ujuzi wa kibinadamu halafu tunamsingizia MUNGU
Wapi nimesema hivyo??yaani unaona sawa,mtanzania mwenzio kusomewa albadir???kwa lipi hasa??wti mwisho,umekua Mungu?