DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

hivi kwa zile zinaa' kule Instagram sheikh anafata nini jomoni...Mtumishi wa Mungu halipi kisasi coz kisasi ni juu ya Mungu..yeye anapaswa kuzungumza na Mungu basi..
 
ILA huyu mkuu wa dini ni CCM haswa. Tunamfahamu sana hata baadhi ya Waislamu huwa hawamkubali kabisa kwa kuegemea kwenye siasa za CCM.
Anawazingua Waislam wenye itikadi za CUF. Binadamu mweye Roho ya kuvumilia ni Jakaya Kikwete pekeee ambae unaweza ukamsema akakausha
 
Hivi huYu shehe alijipimaje kumchokoza mtu ambaye anaufuasi mkubwa wa watu zaidi ya mara mbili ya nchi ya zanzibar?....
 
Na tena siyo ugomvi binafsi wa Shehe na Mange eti!
Hichi kiburi cha uzima kina cost sana maana ni kwa Rehema za Muumbaji Ndio tuna ishi sisi na vizazi vyetu!
Maulana Mola wetu atupitishe katika njia za haki walahi!
 
8224280ea190aa20c058de6268f920de.jpg
 
Msichezee imani za watu, subirini muone. Kuna visomo kaka wewe au sijui dada wewe au ndio mange mwenyewe. Usicheze na Qur’an! Huyo Mange Sio kama atakufa ila ataacha kutukana Watu.

kipusy
Mkuu,
Sina shida na imani za watu hazinisaidii hata senti moja kwenye maisha yangu.

Ila siyo busara hata kidogo kiongozi yeyote yule awe wa Serikali ama dini au koo na mila kuhangaika na kabinti kadogo kama Mange Kimambi.

Any way, akili kubwa wananielewa.

Ila kwa wale wa akili za kuambiwa wote hawatanielewa.
 
Sentence ya mwisho katika msg yako ..."she has nothing to lose" ... Hivi kweli MAISHA YAMEKOSA THAMANI KIASI HICHO? ... Are we not VALUABLE BEINGS/CREATURES before God the Almighty? ... Kwa nini maisha yetu yakose THAMANI kiasi hicho ... ?

By the way, a little correction to that grammatical error in your sentence above ... "Loose > Lose ...
Yeah asante tatizo haya masimati foni matachi skrini, thanks anyway. Kiukweli kumtangazia mtu kuwa mwaka huu utakaa kimya ni kitisho kwa mtu yeyote ni as if wewe ndiye mwenye maamuzi na maisha ya huyo uliyemtakia. Sheikh alikosea alitakiwa ajinasibu kwanza yeye nwenyew b4 hajaenda kwenye press, Na yule dada nguvu yake ipo hukuhuku kwetu kwenye jamii yeye ni kioo tu, ndio maana anatoa evidence ya mambo ambayo hutegemei kayapatia wapi. Somtym hadi ndugu wanaweza wakatuma taarifa kwake ukahaibika.
 
Jamiiforums tafadhali jitengeni kabisa na huu upuuzi wa kina Mange na kuchafua viongozi wa dini na taasisi......si jambo jema na si lengo la mtandao huuu
Acha aanikwe kwani kuna la uongo paleee?!!tunamjua vzr alhad
 
kipusy
Mkuu,
Sina shida na imani za watu hazinisaidii hata senti moja kwenye maisha yangu.

Ila siyo busara hata kidogo kiongozi yeyote yule awe wa Serikali ama dini au koo na mila kuhangaika na kabinti kadogo kama Mange Kimambi.

Any way, akili kubwa wananielwa.

Ila kwa wale wa akili za kuambiwa wote hawatanielewa.
Akili kubwa tumeelewa. Dini zipo lakini asilimia kubwa atuzielewi na viongozi wengi wa dini wanapata vyeo vya Dini kwa kutumia ushirikina
 
Msichezee imani za watu, subirini muone. Kuna visomo kaka wewe au sijui dada wewe au ndio mange mwenyewe. Usicheze na Qur’an! Huyo Mange Sio kama atakufa ila ataacha kutukana Watu.
Visomo hvyo ndo asome yule chakla hana ikhlas yoyote?labda asome albadiri
 
Acha aanikwe kwani kuna la uongo paleee?!!tunamjua vzr alhad
Kwa hiyo wewe ni shuhuda wa yanayosema dhidi yake....?
Bado nasisitiza tena ni busara Jamiiforums ikajitenaga na huu upuuzi wa kina Mange na wafuasi wake....sioni mwisho mzuri
 
Back
Top Bottom