DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

DAR: Sheikh wa Mkoa, Mussa Alhad atangaza mwisho wa Mange Kimambi kutukana, kushughulika na JamiiForums kisheria

hahahaaa magufuli alikuwa anapenda kusifiwa huyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Nyerere alikataa kuitwa mheshimiwa akasema anapenda aitwe mwalimu.kuna mmoja alisema eti Mungu amshukuru magufuli kwa kazi anayofanya

Walipitiliza misifa hadi wakaanza kukufuru.
 
hahahaaa magufuli alikuwa anapenda kusifiwa huyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Nyerere alikataa kuitwa mheshimiwa akasema anapenda aitwe mwalimu.kuna mmoja alisema eti Mungu amshukuru magufuli kwa kazi anayofanya
Yule aliyesema Mungu amshukuru Magufuli laana imeanza kumtafuna. Anajifanya mhubiri siku hizi lkn Kama tujuavyo dhambi ya kukufuru ukiwa na akili timamu Ni habari nyingine. Itamkula mpaka akawe na huyo aliyemsifia
 
Hahahaa Sheikh Ubwabwa imekula kwake.
Mange anadai sheikh anafumua sana marinda ya wanawake wenye makalio makubwa na anawalipa laki nne. Mange hadi akatoa picha zao ikabidi familia wamsihi mange akasitisha. Kuna mmoja mke wa mtu mange aliweka picha yake alhad alimtifua tope hadi nilimuonea wivu sheikh nikasema kwa nini sikuwa kwenye nafasi yake?
 
Ndio Maana Albadili ilidunda maana sheikh mwenyewe mtifua mitaro.
 
Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhad Mussa Salim hivi sasa anazungumza na waandishi wa vyombo vya habari kuhusiana na kuhusishwa na kampeni zinazoendelea katika Jimbo la Kinondoni.

=====

Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Mussa Alhad ameelezea picha inayosambaa kwenye mitandao inayomuhusisha yeye kufanya kampeni ambayo yumo yeye na pembeni kuna mgombea wa CCM jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia akila chakula pamoja na wenzake wa CCM. Amesema picha ilipigwa akiwa kwenye maziko ya Sheikh Masoud Ismail, amesema yeye ni kiongozi na mtu yeyote anaweza kupiga picha na yeye.

Amedai Mange Kimambi amekuwa akitukana viongozi mbalimbali kwenye Instagram na kusema pia alimtukana mufti wa Tanzania baada ya kuipongeza serikali na Rais John Magufuli.

Sheikh Alhad amesema ametukanwa kwa dhulma na uadui na kudai Mange anautumia ulimi na mikono yake vibaya kudhulumu watu(Heshima zao).

Alhad amesisitiza huu ni mwaka wa mwisho kwa Mange na baada ya mwaka huu hatamtukana mtu yeyote kwa kutumia ulimi au mkono wake kwa sababu amejihalalishia mwenyewe maangamizi kwa mkono wake. Amesema atamshtaki kwenye mahakama ya Mbinguni.

Amesema kuna watu walimpa rai asimjibu kwani atamtukana sana na kudai wao wanataka aendelee kutukana na hatasikia sauti yake baada ya leo ikimjibu na yeye andelee kutukana.

Alhad amesema hawezi kujiingiza kwenye kampeni ya kuipigia debe CCM, amesema CCM ina kawaida ya kualika viongozi wa dini na chama chochote kinaweza kumualika kwenye jambo lake. Amesema ajabu, picha zake ndio zinaanikwa lakini za viongozi wengine hazianikwi.

Katika hatua nyingine, Sheikh ameiambia NEC kuhusu JamiiForums ambao wameandika kwamba sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam: Hivi mnajua kama anafanya kampeni Kinondoni! Alhad amesema watachukua hatua za kisheria ili wathibitishe sheikh wa mkoa wapi amefanya kampeni, kwa kuhudhuria kwenye maziko au sababu ya picha!.

Juu ya tuhuma za Sheikh kushiriki siasa, soma => Picha za Sheikh Alhad Mussa na makada wa CCM zinatoa tafsiri gani? BAKWATA toeni ufafanuzi

Hivyo kuhusu JamiiForums, wataona namna gani ya kushughulika nao kisheria na wengine wote ambao kwa namna moja au nyingine, walijiingiza katika jambo hilo kichwa kichwa bila kulijua ili kuvunja heshma zao.

.
 
Unaleta umbea. Haya mambo ameyasema zamani sana, kabla ya Ramadhani,na sasa labda ameshayasahau.
 
Mange anadai sheikh anafumua sana marinda ya wanawake wenye makalio makubwa na anawalipa laki nne. Mange hadi akatoa picha zao ikabidi familia wamsihi mange akasitisha. Kuna mmoja mke wa mtu mange aliweka picha yake alhad alimtifua tope hadi nilimuonea wivu sheikh nikasema kwa nini sikuwa kwenye nafasi yake?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
1660090_FB_IMG_1514731600839.jpg
 
Angalizo! Kuweni na akiba ya Maneno! Muweke heshima kwa Ubwabwa wetu
 
Back
Top Bottom