Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Wazee was kuingia na matokeo mfukoniπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwan walipokuwepo hatukufungwa??

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Tukifungwa lakini mpira ulionekana, ila leo tunafungwa na mpira tunachezewa.

Tatizo kuna mashabiki hampendi kwenda na uhalisia,mnapenda kuishi kwenye mazoea.Mnadhani hii ni Simba ileile?

Hii simba sio ile ya msimu uliyopita, benchi la ufundi lina kazi kubwa sana haswa kwenye backline na forward.


Nipo tayari kuitwa Utopolo ila ukweli nimeusema.
 
Japokuwa Yanga anaongoza ila hii game bado kabisa coz upande wa kushoto wa Yanga hauna mtu sahihi na ndio goal litatokea huko
 
Unayafahamu matokeo matatu ya mpira wa miguu?

Just relax, this is just football.
 

Inaumiza sana sijui kwanini waliwauza na wameshindwa kupata mbadala.

Team inacheza vibaya, inaumiza sana basi tu.
 
Utopolo naona unahoroja tu hapa
Nimekuwa na bahati mbaya sana ya kuitwa utopolo na wewe Kila ninapoyasema madhaifu ya Simba Sc.

Nimekuvumilia sana ila leo siwezi, kwani kuwa Simba ni kutokusema udhaifu unaoineka? Kuna kibaya au uongo wowote niliousema juu ya Simba? Kama hauwezi kujadili mpira nakuomba sana uwe unapita mbali na comment zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…