Hili lilionekana mapema kabisa tangia kwenye pre-season, team ilidraw karibia mechi zote na hizo draw zenyewe zilikuwa ni za magumashi ila tulipoongea humu tulionekana ni utopolo.
Pengo la Chama na Miquisone linaonekana wazi kabisa, hakuna watu wakuanzisha mashbulizi kama zamani Bwalya anaetegemewa ndo huyo kafichwa na Bangala.
Club bingwa msimu huu tushukuru kwakua hatukuanzia hatua za mwanzo kabisa.
Hii mechi hata kama tutashinda inatakiwa iwe wake-up call kwa benchi la Simba Sc, tunakoelekea ni kubaya.
Msimu uliopita hata kama tukifungwa,mpira tunakuwa tumeupiga haswaa, ila saivi hakuna ball kabisa.