Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Unayafahamu matokeo matatu ya mpira wa miguu?

Just relax, this is just football.
Sitaki kudeal na matokeo mkuu, huenda tukashinda lakini bado sijaridhishwa kabisa na huu uchezaji wa Simba Sc hasa backline na Forward zetu.
 
Mkuu acha wasikuvurugie mood yako, wamepanic wasamehe bure tu.
 
Inaumiza sana sijui kwanini waliwauza na wameshindwa kupata mbadala.

Team inacheza vibaya, inaumiza sana basi tu.
Narudia tena, mbadala wa wachezaji tuliowauza bado haujapatikana.Ukitaka kuamini angalia Sub zetu hapo nje ni nani anaekupa matumaini ya ku-deliver tulichokuwa tunakipata kwa Chama na Miquisone?

Njooni mniueeeee.
 
Msifike huko mwee
 
Inaumiza sana sijui kwanini waliwauza na wameshindwa kupata mbadala.

Team inacheza vibaya, inaumiza sana basi tu.
Kuna watu wanakera sana, Emb angalia anachokifanya Mugalu humo ndani, alafu ukisema Unaonekana utopolo.

Hivi tunafanikiwaje msimu huu kwa forward aina ya Mugalu?
Mkuu acha wasikuvurugie mood yako, wamepanic wasamehe bure tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…