Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
2nd half...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitaki kudeal na matokeo mkuu, huenda tukashinda lakini bado sijaridhishwa kabisa na huu uchezaji wa Simba Sc hasa backline na Forward zetu.Unayafahamu matokeo matatu ya mpira wa miguu?
Just relax, this is just football.
Kwa lipi ama faulo hizo za kipuuziBwalya kapotea, toa ingiza Banda....
Ila Kanoute ni mtu na nusu...
Mkuu acha wasikuvurugie mood yako, wamepanic wasamehe bure tu.Nimekuwa na bahati mbaya sana ya kuitwa utopolo na wewe Kila ninapoyasema madhaifu ya Simba Sc.
Nimekuvumilia sana ila leo siwezi, kwani kuwa Simba ni kutokusema udhaifu unaoineka? Kuna kibaya au uongo wowote niliousema juu ya Simba? Kama hauwezi kujadili mpira nakuomba sana uwe unapita mbali na comment zangu.
Utopolo ni Mama yako mzazi, awe hai au ametangulia kuzimu.
Haijawahi kuwaNdiyooo Yanga ni bonge la timuu aisee
Huyo ndio atamfukuzisha kochaMugalu anakeraaa!!! kama vipi atoke
Narudia tena, mbadala wa wachezaji tuliowauza bado haujapatikana.Ukitaka kuamini angalia Sub zetu hapo nje ni nani anaekupa matumaini ya ku-deliver tulichokuwa tunakipata kwa Chama na Miquisone?Inaumiza sana sijui kwanini waliwauza na wameshindwa kupata mbadala.
Team inacheza vibaya, inaumiza sana basi tu.
Nimekuwa na bahati mbaya sana ya kuitwa utopolo na wewe Kila ninapoyasema madhaifu ya Simba Sc.
Nimekuvumilia sana ila leo siwezi, kwani kuwa Simba ni kutokusema udhaifu unaoineka? Kuna kibaya au uongo wowote niliousema juu ya Simba? Kama hauwezi kujadili mpira nakuomba sana uwe unapita mbali na comment zangu.
Utopolo ni Mama yako mzazi, awe hai au ametangulia kuzimu.
😔😔😔😔Mugalu anafanya nini?
Anacheza mayenu hahahaha ama mayele sijaelewa hata mimiMugalu anafanya nini?
Kuna watu wanakera sana, Emb angalia anachokifanya Mugalu humo ndani, alafu ukisema Unaonekana utopolo.Inaumiza sana sijui kwanini waliwauza na wameshindwa kupata mbadala.
Team inacheza vibaya, inaumiza sana basi tu.
Mkuu acha wasikuvurugie mood yako, wamepanic wasamehe bure tu.