Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Simba waliofanya usajili hawakuwa serious
 
Kwa mara ya pili mabadiliko ya kocha hayaisaidii Simba. Aliyepaswa kubadilishwa mapema kabisa ni Kapombe
 
Pira letu la msimu uliopita limehamia Yanga, daah..!
Team inapigiwa pasi kama imesimama.

Tukisema tunaonekana ni utopolo, ila huu msimu utakuwa ni mgumu sana kwetu kama tusipobadilika.

Leo Manara atabwata sana kama Yanga itashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…