Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Simba waliofanya usajili hawakuwa serious
 
Pira letu la msimu uliopita limehamia Yanga, daah..!
Team inapigiwa pasi kama imesimama.

Tukisema tunaonekana ni utopolo, ila huu msimu utakuwa ni mgumu sana kwetu kama tusipobadilika.

Leo Manara atabwata sana kama Yanga itashinda.
 
Back
Top Bottom