Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Yaani Mungu tu asaidie ila naona zamu ya kulia imetufikia hatuna team!!!!
Yes dear jinsi simba ilivocheza na tp mazembe ndio hivo hivo imecheza Leo, bado hatuna washambuliaji wa kuleta impact mugalu hovyo kabisa aisee, team inahitaji kujifua kwelikweli
 
walizoea sana kupambana na yanga isoweza kufigh back leo wamekoma lazima wavurugane huko sasa hivi utasikia mara simba taliban kimekwenda kimerudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…