escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
Profesa vs MEMKWA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes dear jinsi simba ilivocheza na tp mazembe ndio hivo hivo imecheza Leo, bado hatuna washambuliaji wa kuleta impact mugalu hovyo kabisa aisee, team inahitaji kujifua kwelikweliYaani Mungu tu asaidie ila naona zamu ya kulia imetufikia hatuna team!!!!
Moo katuuza msimu huu,Yaani kwa hii timu yetu hakuna tutakachofanya huu msimu. Imagine bocco hawezi hata kutuliza mpira. Wawa Kila akipata mpira anabutua mbele tu.
Una moyo mgumu MkuuBado naendelea kuamini 1-1 dk 90
Daaa!. Ma-locomotive faint hakuna tena.Yaani kwa hii timu yetu hakuna tutakachofanya huu msimu. Imagine bocco hawezi hata kutuliza mpira. Wawa Kila akipata mpira anabutua mbele tu.
Karibu tucheze sebene mkuu.Kusema kweli tukubaliane Simba Sc haina timu ya maana kwa sasa. Hasa strikers
😜😜😜😜Naamini 1-1 dk 90