Wakati tunawaambia mlikua mnaona sisi ni wajinga.Yes dear jinsi simba ilivocheza na tp mazembe ndio hivo hivo imecheza Leo, bado hatuna washambuliaji wa kuleta impact mugalu hovyo kabisa aisee, team inahitaji kujifua kwelikweli
Endelea kuaminiNaamini 1-1 ndani ya dakika 90
NaaamKuimba kupokezana, hongereni watani Yanga mmestahili ushindi!!
Usikate tamaa mkuu. Hii timu bado ipo imara. Ngoja tuanze ligi.Kusema kweli tukubaliane Simba Sc haina timu ya maana kwa sasa. Hasa strikers
Sawa mkuu. Subiri hapo hapoNaamini 1-1 dk 90
ukubaliane na nani .simba tuna timu nzuri na itafanya vizuri tu msimu huu coach anajukumu la kujua namna ya kutumia kikosi chake vizuri, kwa leo alizidiwa mbinu tangu 1st half inabidi ajue namna ya kuunganisha wale viungo pale kati,mfano tu huwezi kuanza na kanoute pamoja na lwanga. ilibidi afanye sub nyingi tu ambazo hakufanya, acha pressure ya mechi ya yanga .This is Derby brotherKusema kweli tukubaliane Simba Sc haina timu ya maana kwa sasa. Hasa strikers
Kisu kimoja tu, mnyama chali!! Wananchi wanatafuna nyama muda huu. Kila mtu amejikatia kipande chake.Tupeni matokeo huko.
Ni dakika ya ngapi?
Nasikia mnyama bado hali ni tete.
Yanga wataongea sana wakishinda leo.
Yanga ilikuwa vizuri leo, huwezi kusema eti ushindi wao ulikuwa ni wa bahati.mechi za simba na yanga zina mambo mengi mganga wa yanga
Kikabumbu tunaita anaosha mbele, tumewakata ngebeYaani kwa hii timu yetu hakuna tutakachofanya huu msimu. Imagine bocco hawezi hata kutuliza mpira. Wawa Kila akipata mpira anabutua mbele tu.
Acha lawama,kila kitu kina mwisho wakeYanga ilikuwa vizuri leo, huwezi kusema eti ushindi wao ulikuwa ni wa bahati.
Niliumia ana Chama na Miquisone kuuzwa, na nilieleza madhara ya kuuza wachezaji wawili wa kutegemewa(play makers), tena mwingine hakuwa kwenye plan za kuuzwa ila aliuzwa ghafla kwasababu alifanya Live streaming Instagram. Niliposema niliitwa utopolo.
Haya sasa acha inyeshe tujue panapovuja.
Mganga wako aliteleza tu hapo mwishoni chief [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna red card nimeota anapewa mchezaji wa Simba lakini mwisho wa Mchezo ni Lunyasi ndio wanaibuka na Ushindi ndani ya Dk 90
Tumewawowa tumewaswelaBiriani letu limeenda wapi?
Hakuona rangi vizuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mganga wako aliteleza tu hapo mwishoni chief [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kuambiwa team yetu ina ka weakness flani mapengo ya chama yanaonekana wazi kabisaWakati tunawaambia mlikua mnaona sisi ni wajinga.
Haya ndo matokeo yake sasa.
Akupe hela yako huyo mkia[emoji3][emoji3][emoji3] mimi sijabisha ila ni utashinda na njaa na ukishinda nakupa buku 10 baba uwezo wa laki sina[emoji12]
Yanga wameupiga mwingi sana yule bangala, djuma na mayele + fei wametupa tabu ya maanaSimply Yanga was the best.! Nimekubali kufungwa