Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Yes dear jinsi simba ilivocheza na tp mazembe ndio hivo hivo imecheza Leo, bado hatuna washambuliaji wa kuleta impact mugalu hovyo kabisa aisee, team inahitaji kujifua kwelikweli
Wakati tunawaambia mlikua mnaona sisi ni wajinga.

Haya ndo matokeo yake sasa.
 
Kusema kweli tukubaliane Simba Sc haina timu ya maana kwa sasa. Hasa strikers
ukubaliane na nani .simba tuna timu nzuri na itafanya vizuri tu msimu huu coach anajukumu la kujua namna ya kutumia kikosi chake vizuri, kwa leo alizidiwa mbinu tangu 1st half inabidi ajue namna ya kuunganisha wale viungo pale kati,mfano tu huwezi kuanza na kanoute pamoja na lwanga. ilibidi afanye sub nyingi tu ambazo hakufanya, acha pressure ya mechi ya yanga .This is Derby brother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mechi za simba na yanga zina mambo mengi mganga wa yanga
Yanga ilikuwa vizuri leo, huwezi kusema eti ushindi wao ulikuwa ni wa bahati.

Niliumia ana Chama na Miquisone kuuzwa, na nilieleza madhara ya kuuza wachezaji wawili wa kutegemewa(play makers), tena mwingine hakuwa kwenye plan za kuuzwa ila aliuzwa ghafla kwasababu alifanya Live streaming Instagram. Niliposema niliitwa utopolo.

Haya sasa acha inyeshe tujue panapovuja.
 
Acha lawama,kila kitu kina mwisho wake
Mara ngapi tumefungwa wakiwepo hao
 
Wakati tunawaambia mlikua mnaona sisi ni wajinga.

Haya ndo matokeo yake sasa.
Sio kuambiwa team yetu ina ka weakness flani mapengo ya chama yanaonekana wazi kabisa
 
Back
Top Bottom