Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Kwa kawaida furaha ya muwekezaji ni fedha na furaha ya Mashabiki ni ushindi.

Tatizo lenu wakati team inabomolewa kwa faida ya mwekezaji mligeuka Chawa wa muwekezaji kiasi kwamba sisi tuliokuwa tunazungumza kiufundi tulioneka malofa.

Haya sasa tuliuza wachezaji mwekezaji akanufaika, vipi wewe shabiki wa kawaida una nufaika na kipi ikiwa team ndo imedoda hivi?

Wengine mliamua mpaka kuweka avatar ya MO.
Mkuu pole Sana, nakumbuka kila mkileta Uzi kuelezea hali halisi ya timu yenu huyu Okwi Boban Sunzu na vibaraka wenzake wa Mwamedi walikuwa wakiwaita Utopolo. Leo imekuwa too late ndio wanakubali kuwa timu ni mbovu. Hao wapo kwenye payrolls ya Mwamedi.
 
Duhh hata wasio waisilamu unawasalimia ASSALAAM ALAIKUM!!!!! Mokaze Abuu Dharr FaizaFoxy ni sawa hili?

Insigne

Tuanzie hapa; Nini maana ya maneno; "Assalam aleykum" (السلام اليكم) ??!---- hayo ni maneno ya kiarabu yenye maana:- Amani iwe juu yenu/Amani iwe kwenu.

Nije kwako; Hivi akija mtu na akakuombea dua hii; "amani iwe juu yako" je wewe utakataa hayo maombi??!!, naamini kabisa kwa mtu aliyesawasawa kamwe hawezi kukataa kwani kinyume cha amani iwe juu yako ni shari, vita, msiba, majanga yawe juu yako, sasa ni mtu gani mwenye akili atapenda apatwe na misiba, majanga nk??!!, nimetumia njia hiyo ya Rational and commonsense ili uweze kupata somo.

Dini ya Uisilamu bali dini zote zilizotoka kwa Mungu mbali na kufundisha kumjua Mungu wa kweli lakini pia zilifundisha upendo na hakuna upendo bila Amani, Islam maana yake ni amani kwa maana hiyo ni sahihi kwa Muisilamu kuwasalimia WATU WOTE kwa salamu ya Amani; Assalam aleykum, kwani amani ni kwa watu wote, hakutakuwa na amani kwa waisilamu kama wasio waisilamu hawana amani na bila amani kati ya Watu mambo mengi yatakwama na hata jambo kubwa la kufanya ibada litakuwa mashakani.

Bwana Yesu, nabii Isa (as), tunasoma katika injili ya Yohana (20:21), alitumia hiyo Salamu; Amani iwe kwenu alipokutana na Wanafunzi wake na wala hakutumia salamu ya "Tumsifu Yesu kristo" kama inavyotumiwa na Wakristo leo, na hata Mayahudi hutumia neno shalom kwa maana hiyo hiyo ya Amani (iwe kwenu).

Hitimisho; Assalam akeykum ni salamu kutoka kwa Mungu aliyotufundisha Mtukufu mtume Muhammad (saw) ili iwe kwa ajili ya watu wote kwani Mtume (saw) ni rehma kwa viumbe wote na wasio waislamu nao ni viumbe wa Mungu wanaistahiki kupata rehema, Uisilamu hauna ubaguzi katika neema na rehma za Mungu.

🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]
Upendo upi wakati mnawachinja Mashoga ?
Kwanini hamumuachii Allah awahukumu ?
Ua hana uwezo ?
 
Mkuu pole Sana, nakumbuka kila mkileta Uzi kuelezea hali halisi ya timu yenu huyu Okwi Boban Sunzu na vibaraka wenzake wa Mwamedi walikuwa wakiwaita Utopolo. Leo imekuwa too late ndio wanakubali kuwa timu ni mbovu. Hao wapo kwenye payrolls ya Mwamedi.
Ninachoamini tutakuja kuimba wimbo mmoja, ngoja tuone kama kuna improvement yoyote itafanyika ila kwa style hii tutahangaika sana.
 
Tuanzie hapa; Nini maana ya maneno; "Assalam aleykum" (السلام اليكم) ??!---- hayo ni maneno ya kiarabu yenye maana:- Amani iwe juu yenu/Amani iwe kwenu.

Nije kwako; Hivi akija mtu na akakuombea dua hii; "amani iwe juu yako" je wewe utakataa hayo maombi??!!, naamini kabisa kwa mtu aliyesawasawa kamwe hawezi kukataa kwani kinyume cha amani iwe juu yako ni shari, vita, msiba, majanga yawe juu yako, sasa ni mtu gani mwenye akili atapenda apatwe na misiba, majanga nk??!!, nimetumia njia hiyo ya Rational and commonsense ili uweze kupata somo.

Dini ya Uisilamu bali dini zote zilizotoka kwa Mungu mbali na kufundisha kumjua Mungu wa kweli lakini pia zilifundisha upendo na hakuna upendo bila Amani, Islam maana yake ni amani kwa maana hiyo ni sahihi kwa Muisilamu kuwasalimia WATU WOTE kwa salamu ya Amani; Assalam aleykum, kwani amani ni kwa watu wote, hakutakuwa na amani kwa waisilamu kama wasio waisilamu hawana amani na bila amani kati ya Watu mambo mengi yatakwama na hata jambo kubwa la kufanya ibada litakuwa mashakani.

Bwana Yesu, nabii Isa (as), tunasoma katika injili ya Yohana (20:21), alitumia hiyo Salamu; Amani iwe kwenu alipokutana na Wanafunzi wake na wala hakutumia salamu ya "Tumsifu Yesu kristo" kama inavyotumiwa na Wakristo leo, na hata Mayahudi hutumia neno shalom kwa maana hiyo hiyo ya Amani (iwe kwenu).

Hitimisho; Assalam akeykum ni salamu kutoka kwa Mungu aliyotufundisha Mtukufu mtume Muhammad (saw) ili iwe kwa ajili ya watu wote kwani Mtume (saw) ni rehma kwa viumbe wote na wasio waislamu nao ni viumbe wa Mungu wanaistahiki kupata rehema, Uisilamu hauna ubaguzi katika neema na rehma za Mungu.

🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Nadhani ameridhika na ufafanuzi huu
 
Mkuu Mokaze Shukurani sana.
 
Upendo upi wakati mnawachinja Mashoga ?
Kwanini hamumuachii Allah awahukumu ?
Ua hana uwezo ?

1---Hebu weka sawa kwanza; hao Mashoga wanachinjwa au wanakatwa vichwa??!

2---- Hivi ni Mashoga pekee ndio hutendewa huo ubaya au kuna watu wengine pia hutendewa ubaya mwingine???---- nimeuliza hivyo kwasababu inaonekana "umeguswa" sana na MASHOGA pekee kuuawa na hujaguswa na waovu wengine kutendewa kinyume na sheria.😁

3----Jibu la swali lako ni hili; Kumbuka kwamba kuna Dini na kuna Wafuasi wa dini na kila mmoja anahujmkumiwa kivyake, Dini inahukumiwa kutokana na mafundisho yake yanayopatikana katika vitabu vyake na mafundisho sahihi ya Waanzilishi wake na Wafuasi wa dini wanahukumiwa kutokana na matendo yao binafsi na kama watatenda kulingana na vitabu vya dini yao basi hapo watakuwa wapo sahihi vinginevyo watakuwa wakosefu na wao ndio wanapaswa kulaumiwa na sio dini yao, Hivyo jambo la msingi ni kuangalia je dini inasemaje kuliko kuangalia Wafuasi wanasemaje juu ya jambo lolote.

4---- mfano, Hebu nikuulize; tumlaumu nani kati ya Ukristo na Wakristo-Mashoga wale wanaosema kwamba Fundisho la ushoga limo.ndani ya Injili??!! ( na huwa Wananukuu kifungu).
 
Nazungumzia marking ndani ya eneo la 18, ni sahihi kumfanya mpinzani acheze lakini asifike mpaka chumbani kwako. Akikaribia tu unapaswa ku win mpira na kufanya counter attack. Ila Yanga kuna tatizo la mabeki kushindwa kuwa makini golini mwetu. Washukuriwe mafowadi butu wa Simba
Sawa mkuu...
 
Back
Top Bottom