pachachiza
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,863
- 2,757
Ile mechi inatakiwa ushinde basi inatosha sio ligi inahesabiwa magoli na pointsTatizo la Yanga wakishinda goli moja wanaridhika.
Jana gemu ilikuwa yao
Wangeweza kuifunga Simba hata Goli tatu.
Simba tuna Kesi ya msingi na Kocha Gomes na Swahiba wake Mugalu.
Iko siku kitawaka.
dah nipo ndugu yangu, kitambo sana aiseeMkuu upo?
Karibu tenadah nipo ndugu yangu, kitambo sana aisee
ukiona simba wanapiga mashuti mengi hivyo ujue wameishiwa maarifa na si kwamba walikua vizuri km unavyodai, simba huwa inacheza vzuri na sio kupigapiga km ilivyokua jana, konde boy aliipa simba balance ya ajabu mno mbele na kati kitu kilichoenda kuficha mapungufu ya wengine wengi hasahasa thadeo na kwe striking, km simba itachukulia tu ni issue ya kutokua serious ndio imewacost game ya jana nadhan watakosea sana-mtazamo tu lkn maana mi ni yangahivi unasemaje hatukucheza timu imepiga mashuti 15 sijawahi ona simba kupiga mashuti mengi vile tukubali tu tumeotewa tumefungwa kwa kushindwa kutumia nafasi sio muda wa kulaumu nani ni nani ifike mahali simba ichukue seriousness wakati wakujiandaa na deby kama alivyosema Mightier kwenye uzi wake mmoja humu
asante kaka, tupo kuwananga vijana wa muamediKaribu tena
EwaaMie ni huyo wa mwisho mwenye shangazi kaja. Teh teh.
Ninachofurahi ni kwamba hakuna sehemu uliyokataa kuwa Yanga hawakuwa bora zaidi yetu jana.hivi unasemaje hatukucheza timu imepiga mashuti 15 sijawahi ona simba kupiga mashuti mengi vile tukubali tu tumeotewa tumefungwa kwa kushindwa kutumia nafasi sio muda wa kulaumu nani ni nani ifike mahali simba ichukue seriousness wakati wakujiandaa na deby kama alivyosema Mightier kwenye uzi wake mmoja humu
ππΏUtopologist sijaona ukipita haya maeneo mkuu
Ninachofurahi ni kwamba hakuna sehemu uliyokataa kuwa Yanga hawakuwa bora zaidi yetu jana.hivi unasemaje hatukucheza timu imepiga mashuti 15 sijawahi ona simba kupiga mashuti mengi vile tukubali tu tumeotewa tumefungwa kwa kushindwa kutumia nafasi sio muda wa kulaumu nani ni nani ifike mahali simba ichukue seriousness wakati wakujiandaa na deby kama alivyosema Mightier kwenye uzi wake mmoja humu
Mkuu nakusihi ulisahau kidogo hilo swala, kocha sio tatizo tatizo ni aina ya wachezaji aliobakiziwa.Mashabiki wasimba wengi wao kimewauma zaidi jana hawaja cheza mpira wao, yaani akina Aucho na Fei walificha kabisa masufuria biriani halipikiki na hata kama wangepika viungo muhimu Konde na Chama hamna.
Sasa hivi sasa tumuone Gomes anaweza kutengeneza mfumo mpya ambao utapata matokeo kama walivyo kuwa akina Konde na Chama, kwani mpaka sasa kwa mujibu wa mechi mbili ya jana na Simba day bado mapengo yao yana onekana.
Sasa utafanyaje wakati ndio wachezaji ulio nao, hapo sasa ndipo pakuonyesha uwezo wake kama kocha wa kuwatumia wachezaji hao hao aliokuwa nao kupata matokeo.Mkuu nakusihi ulisahau kidogo hilo swala, kocha sio tatizo tatizo ni aina ya wachezaji aliobakiziwa.
Mtu kama Mugalu mwenye miaka 30+ unaanzaje kumfundisha kufunga?Sasa utafanyaje wakati ndio wachezaji ulio nao, hapo sasa ndipo pakuonyesha uwezo wake kama kocha wa kuwatumia wachezaji hao hao aliokuwa nao kupata matokeo.
Hukuipata?Mie ni huyo wa mwisho mwenye shangazi kaja. Teh teh.
Umepata jibu au nikusaidieLeo tutajua nani mdebwedo nani mwanaume
Simba hoyeee
πππEwaa
Kumbe chibongeπππ
Hahahahaaaa. Ndio Ntani.Kumbe chibonge