Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Huyu kocha nilimuona kwenye picha ile ya GSM wakipata lucn ya pamoja na benchi la ufundi la yanga
 
Simba tuna kazi kubwa sana kuna kila dalili ya kutolewa mapema Klabu Bingwa Afrika, pengo la Miquisone na Chama linaonekana
Hili lilionekana mapema kabisa tangia kwenye pre-season, team ilidraw karibia mechi zote na hizo draw zenyewe zilikuwa ni za magumashi ila tulipoongea humu tulionekana ni utopolo.

Pengo la Chama na Miquisone linaonekana wazi kabisa, hakuna watu wakuanzisha mashbulizi kama zamani Bwalya anaetegemewa ndo huyo kafichwa na Bangala.

Club bingwa msimu huu tushukuru kwakua hatukuanzia hatua za mwanzo kabisa.

Hii mechi hata kama tutashinda inatakiwa iwe wake-up call kwa benchi la Simba Sc, tunakoelekea ni kubaya.

Msimu uliopita hata kama tukifungwa,mpira tunakuwa tumeupiga haswaa, ila saivi hakuna ball kabisa.
 
Kushinda mtashinda na njaa sio kupindua meza
 
Kwan walipokuwepo hatukufungwa??

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
Hili lilionekana mapema kabisa tangia kwenye pre-season, team ilidraw karibia mechi zote na hizo draw zenyewe zilikuwa ni za magumashi ila tulipoongea humu tulionekana ni utopolo.

Pengo la Chama na Miquisone linaonekana wazi kabisa, hakuna watu wakuanzisha mashbulizi kama zamani Bwalya anaetegemewa ndo huyo kafichwa na Bangala.

Club bingwa msimu huu tushukuru kwakua hatukuanzia hatua za mwanzo kabisa.

Hii mechi hata kama tutashinda inatakiwa iwe wake-up call kwa benchi la Simba Sc, tunakoelekea ni kubaya.

Msimu uliopita hata kama tukifungwa,mpira tunakuwa tumeupiga haswaa, ila saivi hakuna ball kabisa.
naona unahoroja tu hapa
 
Itabidi Chama na Luis warudi
 
Nifanyie wepesi mkuu.
install konde tv app gemu liko live
Screenshot_20210925-175543.jpg
 
Back
Top Bottom