Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga wameupiga mwingi sana yule bangala, djuma na mayele + fei wametupa tabu ya maana
Mkuu nikuone saa ngapi hiyo pesa? Nitume namba wapi?😂😂Mimi nashinda hii game, nikifungwa kuna 100,000 ntakupa ,wewe utanipa nini nikiondoka na ndoo
si ndio hapo hii ni derbyUsikate tamaa mkuu. Hii timu bado ipo imara. Ngoja tuanze ligi.
Kumbuka tulikuwa na season ngumu sana. Haya maingizo mapya yanaipu pumzi timu pia.
Sema ni muda tu.. hii game kufungwa wala sio issue sana.
Ujue sisi huwa hatuna kelele wala dharau.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuona rangi vizuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lawama zote kwa Mugalu aliepata nafasi nyingi akapoteza.
Kweli mkuu nisaidie kudai haki yangu😂Akupe hela yako huyo mkia
Kwa kawaida furaha ya muwekezaji ni fedha na furaha ya Mashabiki ni ushindi.Kusema kweli tukubaliane Simba Sc haina timu ya maana kwa sasa. Hasa strikers
Biriani letu limeenda wapi?
Namuona anaviiiimmmba. 🤣🤣🤣Kumekucha huko manala[emoji23][emoji23]
Ndio maana nasema kwa sasa. Kocha ana kazi ya kufanyaUsikate tamaa mkuu. Hii timu bado ipo imara. Ngoja tuanze ligi.
Kumbuka tulikuwa na season ngumu sana. Haya maingizo mapya yanaipu pumzi timu pia.
Sema ni muda tu.. hii game kufungwa wala sio issue sana.
Dah makambo ndio imetia fola yaani yeye na goli tu ni kugusa tuMkuu unasema ya mugalu
Umeona yamakambo?
Mpira unadunda mkuu
Kaka, tuna timu kwa kweli...ni muunganiko tu haukuwa vyema!Hii ni timu yetu lazima tufe nayo
Angalau maana wakina migh na okwi wangetumaliza humu ndani. Kunywa fanta nitalipa😅 Ujue sisi huwa hatuna kelele wala dharau. 😅😅
Nilikuwa kwenye uzi wa Yanga kule. 🤣🤣