Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Kusema kweli tukubaliane Simba Sc haina timu ya maana kwa sasa. Hasa strikers
Kwa kawaida furaha ya muwekezaji ni fedha na furaha ya Mashabiki ni ushindi.

Tatizo lenu wakati team inabomolewa kwa faida ya mwekezaji mligeuka Chawa wa muwekezaji kiasi kwamba sisi tuliokuwa tunazungumza kiufundi tulioneka malofa.

Haya sasa tuliuza wachezaji mwekezaji akanufaika, vipi wewe shabiki wa kawaida una nufaika na kipi ikiwa team ndo imedoda hivi?

Wengine mliamua mpaka kuweka avatar ya MO.
 
Usikate tamaa mkuu. Hii timu bado ipo imara. Ngoja tuanze ligi.

Kumbuka tulikuwa na season ngumu sana. Haya maingizo mapya yanaipu pumzi timu pia.

Sema ni muda tu.. hii game kufungwa wala sio issue sana.
Ndio maana nasema kwa sasa. Kocha ana kazi ya kufanya
 
Back
Top Bottom