Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umeweka hadi avatar ya Onyango utaelewa ninacho kisema?Ameingiza pesa, umeambiwa kuna pesa imechotwa? au ile team unataka ijiendeshaje kama haiingizi hela ?....
Beki ni ile ile ...
Forwad ni ile ile.....
Wameondoka winga mmoja na kiungo mmoja. Unasema hauna team ya ushindani, aseee.
Hebu kuwa na aibu, unatetea vitu vya ajabu sana.Simba leo imecheza mpira wa hovyo mno.Msimu huu tutapata tabu sana kwenye ligi ya TPL na CAFCL. Timu haina kiungo mchezeshaji wa maana.Ameingiza pesa, umeambiwa kuna pesa imechotwa? au ile team unataka ijiendeshaje kama haiingizi hela ?....
Beki ni ile ile ...
Forwad ni ile ile.....
Wameondoka winga mmoja na kiungo mmoja. Unasema hauna team ya ushindani, aseee.
Ntakuwa mmefunga kutofunga mkuu2 games hatujafunga goli hata moja[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
😂😂😂 bestie leo ni furaha tu huku tukiwaambia huu ni mwanzo.Yanga tunacomment wapi?😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kuna watu watakuita Utopolo kwa kuusema huu ukweli.Bado kidogo tu watakuuliza, unaichangia shingapi Simba? Utafikiri wao wananufaika na hizo hela.Simba walikosea sn kuwauza wale game changers wawili.Hawa wachezaji wa sasa ni watu wa show off
Mkuu poleni kwa kipigo kitakatifuNdio maana nasema kwa sasa. Kocha ana kazi ya kufanya
Sitakusahau BroUnikumbuke na mimi kwenye mgao sista
Pole basi utapata tabu....Hebu kuwa na aibu, unatetea vitu vya ajabu sana.Simba leo imecheza mpira wa hovyo mno.Msimu huu tutapata tabu sana kwenye ligi ya TPL na CAFCL. Timu haina kiungo mchezeshaji wa maana.
Kwa kiungo na forward gani tulizonazo?2 games hatujafunga goli hata moja[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Na bado! Hamlambi kitu msimu huu😂😂2 games hatujafunga goli hata moja[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
😂😂😂 bestie leo ni furaha tu huku tukiwaambia huu ni mwanzo.
😀😀Mkuu poleni kwa kipigo kitakatifu