Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Kwa kiungo na forward gani tulizonazo?

Tatizo watu mlijiaminisha kwa mtazamo wa Simba ile ya msimu uliopita, Hii ni Simba Sc nyingine kabisa.
Simba 2 tofauti kabisa, yaani kipindi Cha pili hata kupiga pasi ilikuwa issue, Wawa Kila akipata anabutua mbele tu. Chama alikuwa anaamua Simba icheze vipi na alikuwa anatengenezaa minafasi kama yote watu wafunge tu.
 
Wewe umeweka hadi avatar ya Onyango utaelewa ninacho kisema?

Endeleeni tu kujifariji,sisi wajanja tulishauona udhaifu wa Simba Sc msimu tangu pre-season.

Ninachokiamini ni kwamba, ipo siku wote tutaongea kitu kimoja, ni swala la muda tu.
Eti wajanja.
Unaongea vitu havipo,umejawa na lawama bila sababu za msingi.
Eti backline msimu huu ni mbovu . ( Na hakuna aliyeondoka kwenye beki).
Forwad ( Hakuna forwad hata mmoja aliyeondoka)
 
Eti wajanja.
Unaongea vitu havipo,umejawa na lawama bila sababu za msingi.
Eti backline msimu huu ni mbovu . ( Na hakuna aliyeondoka kwenye beki).
Forwad ( Hakuna forwad hata mmoja aliyeondoka)
kwahiyo hutaki kolo mwenzio si anakwambia?

Basi simba ni ya moto.
 
Added minutes 4
50 cent.gif
 
Back
Top Bottom