Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya vyura kushinda Uzi umeenda Kwa Kasi ya ajabu
🤣🤣Hamuogopi nyuki
Afu Simba day yenyewe walikung'utwa na sisi leo tumejipigia aah Simba nyiee😂😂walidhani ni simba Day marioo atakuwepo
Mkuu 4 season mfululizo, kuwa kwenye peak si mchezo.Simba imekuwa kwenye peak tangu 2017 unategemea kabisa timu kuwa kwenye recession ila bado itarudi kwenye peak tena hasa ukizingatia wachezaji waliosajiliwa ni vijana zaidi.
Tutastruggle mechi tano ila baada ya hapo tutarudi kwenye form again.
Lakini mnayo silaha ya ziada nayo ni kuhonga marefa na wachezaji wa timu pinzani ingawa safari Hii ni lazima dau liongezekeHebu kuwa na aibu, unatetea vitu vya ajabu sana.Simba leo imecheza mpira wa hovyo mno.Msimu huu tutapata tabu sana kwenye ligi ya TPL na CAFCL. Timu haina kiungo mchezeshaji wa maana.
Yes kwa sababu hatuna tena mfumo wa kuichezesha.Mkuu 4 season mfululizo, kuwa kwenye peak si mchezo.
Ila nadhani tunatakiwa kubadilika. Tuachane na 4_ 2 3_ 1
Homework kwa Gomes......Yes kwa sababu hatuna tena mfumo wa kuichezesha.
Hivi Kagere Ana Shida Gani? , Kweli Mugali Ni wakumuweka Bench Kagere? Bocco Miguu Mirefu haina Cha maana
Yaani leo Simba mlikua mnaruka ruka tu uwanjani. Sijawaelewa kabisa yaani
Yan swahiba tushazoea kujipigia mikia na ndio maana leo atushangilii sana na mikia washazoea kufungwa ndio maana awaumii sana,kikubwa kolokwinyo waendelee tu kuianzishia thread za kipropaganda hapa jf 😀Wapi Swahiba Mgagaa na Upwa
Bwalya haipandishi tena timu awajaribu hawa.Homework kwa Gomes......
Wahi mama 😂Hahaaa. Hao wakalale tu na viatu leo.
Aisee ngoja niwahi kwa Mangi. 😅
Tell them,this just begginingIt has happened Again.
It has happened Again.
It has happened Again.
Simba hii mmeuza wachezaji muhimu wa wawili na hamjapata replacement yake mtastruggle sana kurudi kwenye form yenu.Simba imekuwa kwenye peak tangu 2017 unategemea kabisa timu kuwa kwenye recession ila bado itarudi kwenye peak tena hasa ukizingatia wachezaji waliosajiliwa ni vijana zaidi.
Tutastruggle mechi tano ila baada ya hapo tutarudi kwenye form again.