Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

Simba imekuwa kwenye peak tangu 2017 unategemea kabisa timu kuwa kwenye recession ila bado itarudi kwenye peak tena hasa ukizingatia wachezaji waliosajiliwa ni vijana zaidi.

Tutastruggle mechi tano ila baada ya hapo tutarudi kwenye form again.
Mkuu 4 season mfululizo, kuwa kwenye peak si mchezo.
Ila nadhani tunatakiwa kubadilika. Tuachane na 4_ 2 3_ 1
 
Hebu kuwa na aibu, unatetea vitu vya ajabu sana.Simba leo imecheza mpira wa hovyo mno.Msimu huu tutapata tabu sana kwenye ligi ya TPL na CAFCL. Timu haina kiungo mchezeshaji wa maana.
Lakini mnayo silaha ya ziada nayo ni kuhonga marefa na wachezaji wa timu pinzani ingawa safari Hii ni lazima dau liongezeke
 
Simba imekuwa kwenye peak tangu 2017 unategemea kabisa timu kuwa kwenye recession ila bado itarudi kwenye peak tena hasa ukizingatia wachezaji waliosajiliwa ni vijana zaidi.

Tutastruggle mechi tano ila baada ya hapo tutarudi kwenye form again.
Simba hii mmeuza wachezaji muhimu wa wawili na hamjapata replacement yake mtastruggle sana kurudi kwenye form yenu.
 
Back
Top Bottom