Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Hahaha hongereni sana mikia. Mtakutana na nani baada ya hapa?HAYA UMENIAMINI SASA?
PIGA KELELELEEEEEEEE
[emoji23] [emoji23] [emoji23]final score aggregate itasoma 4-3
hapo tutatoka na 3-1
limebaki gori 1 la kpnd cha 2
Yaani Wewe!!teh teh teh kwani nimekuuliza swali?
au kuna damushin mwengine?
Huoni au?Jmn ngapi huko?
Hanuni mtu hapa ila ndo hivyo tena.Chura churani wamenuuuuuuna ..hahaaaa mtanuna Sana mwaka huu!
Hahahahah limekushuka hahahahahahaHanuni mtu hapa ila ndo hivyo tena.
Hongereni mikia fc