Dar: Simba yafuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba SC 3-1 Nkana FC

Ligi ya Mabingwa Afrika uwanja wa Taifa

Simba SC 0-0 Nkana FC
 
Aaaa, mkuu umenikumbusha mbali sana. Lili Simba la wakati ule mtu ulikua unaenda uwanjani na uhakika

Hapo umenikumbusha kina Arlindo na yule winga mwenye matege na chenga za maudhi sijui ndio Libenge? Lakini Kanka Wemba ambaye ilikua ni mwiko kwenda kulokota mpira kunyavu akajikuta mwenyewe anasalimu amri kwa bao tatu kwa moja kutoka kwa marehemu Edward Chumila na Malota Soma

Mechi ya fainali wale Stella Artois walikua wetu lakini wadosi wakatuhanithi wakauza mechi ile bana, dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…