samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Nchi gani kwa mfano acha kukuza mamboKiukweli nimeingia mno woga ila naamin simba haitoniangusha, simba imebebeni nchi mabegani mwenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi gani kwa mfano acha kukuza mamboKiukweli nimeingia mno woga ila naamin simba haitoniangusha, simba imebebeni nchi mabegani mwenu.
Kweli aiseeNdio watakao tuua wakishirikiana na ndugu yetu wa DAMU Hassan Kessy.
Kwa hiyo ikiwa karibu wapendelee tz auWaamuzi wanatoka Kenya,
Kenya ni Jirani na Tanzania kuliko Zambia,
Naungana nawe. Simba piga hao Nkana Goli 3 kwa 2.Simba hafanyagi makosa haswa anapokuwa nyumbani hvyo Nkana wajiandae kisaikolojia maana naziona si chini ya 3
Aaaa, mkuu umenikumbusha mbali sana. Lili Simba la wakati ule mtu ulikua unaenda uwanjani na uhakikaADUI MWOMBEE NJAA, sitaki unafiki niliwahi kuiombea heri SIMBA Kwa moyo wangu wote Mechi yake na ATLETICO SPORTS AVIACAO ya Angola mwaka 1993 Ile ya Kina Kanka wemba, Yanda, Abilio, Amanali, Bravo(c), libenge nk LEO NIKO NA NDUGU ZANGU TUNAOUNGANISHWA NA TAZARA.
Naungana nawe. Simba piga hao Nkana Goli 3 kwa 2.